Lowassa ni zaidi ya Rais, Vivuko vyote kutoa huduma bure

Lowassa ni zaidi ya Rais, Vivuko vyote kutoa huduma bure

Utakuwa na pipe pale kwenye hivyo vivuko vibovu si bure!! Mwaka 2010 CDM iliposema Elimu bure na kutaka kupunguza bei ya vifaa vya ujenzi mlibeza namna hii ya kitoto! Leo unasema EL amekurupuka!! Hajakurupuka kwa sababu kivuko kile kitaendeshwa kwa gharama za tozo za vyombo vya moto!!
Vyombo vya moto vinatumiwa na wajerumani???
 
LOWASSA ndiye anayeweza kuiondoa hii nchi hapa ilipo,tumeshachoka na ahadi za CCM kwa miaka yooote zaidi ya 50.
 
Back
Top Bottom