Edson
JF-Expert Member
- Mar 7, 2009
- 9,986
- 5,708
Hao wamasai bure kabisa Ndossy kawafanya mifugo hawana tofauti na Ng'ombe.
Kama hayo ni ya kweli, basi kawafanya sehemu ya ng'ombe wake!
Watu wengine wa ajabu sana.
Hivi yeye anajiona yupo juu ya Dr Bilal, Pinda na Mwandosya ambao pia hawakufika tano bora?
Urais atafute sehemu nyingine. Kuna Rais wa TFF siku hizi, kuna Rais wa club ya Simba. Anaweza kuanziasha ka NGO kule Monduli akawa Rais. Maana inaelekea tatizo ni kuitwa Rais! Atakuwa Mheshimiwa Laigwanani Rais wa Monduli Development Foundation.... teh teh!
Wapo wapi wale aliokua akiandamana nao na kumshangilia wapi wale waliokua wakiimba na kumfananisha na mitume
Ki ukweli haya mambo ni bora uyasikie kwa mwingine tu...Nikivaa viatu vyake, naona jinsi gani alivyoumia.
Haamini kilichotokea.
Anaona bado yupo ndotoni
Hahahaha pole sanaaaaaaaaa....ila bado ana nafasi..akabishe hodi ukawa..ataibwaga sisiem kwa kishindo...! poor him