dinomwaluko
Member
- Jun 11, 2015
- 83
- 26
lowasa anaweza kua ni kiongoz mzuri tatizo timu inayomzunguka ni yakuogopwa kama ukoma.....!!! wew hebu jiulize chenge kunadili gan limepgwa nchi hii akakosekana???? kama sio namba moja kuhusika bas atakua moja kati ya wahusika wakuu angalia rostam,karamagi,mama tibaijuka ......yan wale watu ambao wameharibu utawala awam yanne ndowameenda kujificha kwny kichaka cha lowasa wametegesha mabomba yao wanasubili awe rais ili wayachomeke waanze kuinyonya tz km kawaida yao!!!! aa hapana mm binafc hapo sielew nahao watu nawaogopa xana nawatz kwahili tuwe makin xana ......lowasa nae angejua asingeji expose nawatu wanamna hii kwamba anasaka nao urais.......