the manager
Member
- Jun 5, 2015
- 93
- 13
Yeye Na mafisadi wenzake ndio walioiweka NCHI njia panda
Watanzania wamechoka kufisadiwa Mwaka hadi mwaka Ukawa ndio Yenye safari ya Uwakikaunaweza ukawa unaongea bungeni muda wote nq ukawa bogus tu,lowassa ni mtu ambaye anaongozwa na hekima sana sio mtu wa kuongea hivyo lakini ukwelI utabaki tu kuwa huyu ndio kiongozi watanzania wanae muhitaji kwa kipindi hiki kigumu tunachopitia.Mwakyembe alikuja na mbwembwe ktk kuwasilisha hoja yake lakini bahati mbaya haikuwa na mashiko maana hakuna sehemu yoyote inaonyesha lowassa alichota pesa
Kwahiyo kwakifupi alikua afanyi kitu?alishasema yeye siyo mtu wa kusema sema sana ni vitendo tu! ulitaka afanye nn wakat hayupo kwenye mamlaka ya uamuz maswal hayo waulize akina pinda , makamba, mwigulu na membe walioko kwenye kabinet hapo lowasa unamuonea bure! waulize hao washaur wa rais!
Kwahiyo Unakuja na Ile sera kua hicho chama nichakifalme kua mfalme haguswi?Mtoa post nafikiri bado uelewi bado utaratibu wa bungeni.Nadhani unasahau CCM as a party kilichukua a collective cohesive decision ya kuunga mkono katiba pendekezi na Mh hasingeweza kwenda kinyume na msimamo wa chama chake. Mtendaji mkuu wa shughuli za kibunge ni Prime minister, sasa ulitaka aingilie mamlaka ambayo sio yake?
Lowasa huyu jambazi na ni muunda mitandao ya ukwapuaji.Chenge mshauri mkuu wa mtandao ,rostam mtoa pesa
unaweza ukawa unaongea bungeni muda wote nq ukawa bogus tu,lowassa ni mtu ambaye anaongozwa na hekima sana sio mtu wa kuongea hivyo lakini ukwelI utabaki tu kuwa huyu ndio kiongozi watanzania wanae muhitaji kwa kipindi hiki kigumu tunachopitia.Mwakyembe alikuja na mbwembwe ktk kuwasilisha hoja yake lakini bahati mbaya haikuwa na mashiko maana hakuna sehemu yoyote inaonyesha lowassa alichota pesa
Mkuu Chademakwanza salamu! Nakushukuru sana kwa post hii kuileta huku. Hii ni post ambayo niliiweka kule nyumba ya jirani Mwana......... Foru.ms na umeichukua yote kama ilivyo mpaka nukta. Nasema ni jambo zuri ila ulipaswa ukiri kuwa Mshangai ndiye mwenye hati miliki ya maneno haya.
Hata hivyo nakushukuru kwa kuona ni mawazo safi kisha kuya quote.
Mkuu Watanzania wamechoka na Makandokando ya ccmNinapata ahueni ninapoona kuna Watz wanaelewa vizuri huu upuuzi wa CcM na majambazi yao. Wengine sijui wanakulaga madude gani yaliyojaa ubongoni badala ya ubongo. Sasa yeye atakomboa Taifa lipi iwapo likiwa mtikisoni alishabikia.?
Kukaa kimya wakati wengine wanalia inaweza ikawa kufurahi kisirini. Kama alielewa kinachoendelea na hakufurahi basi atakuwa na matatizo ya akili kuja leo mbele na kusema yy ndiye tumaini. Pili toka awe mbunge na Waziri mkuu sina hata speech moja aliyowahitoa
Nawakumbuka akina Msigwa kwa Akili ndogo hazitawali kubwa, na Kikwete ... sijui kwa nini Tz ni maskini lakini sii yeye. Hivyo ni domo zege.
A domo zege preidaa sipati picha.
Mkuu Chadema tupo Makini sanaNinapata ahueni ninapoona kuna Watz wanaelewa vizuri huu upuuzi wa CcM na majambazi yao. Wengine sijui wanakulaga madude gani yaliyojaa ubongoni badala ya ubongo. Sasa yeye atakomboa Taifa lipi iwapo likiwa mtikisoni alishabikia.?
Kukaa kimya wakati wengine wanalia inaweza ikawa kufurahi kisirini. Kama alielewa kinachoendelea na hakufurahi basi atakuwa na matatizo ya akili kuja leo mbele na kusema yy ndiye tumaini. Pili toka awe mbunge na Waziri mkuu sina hata speech moja aliyowahitoa
Nawakumbuka akina Msigwa kwa Akili ndogo hazitawali kubwa, na Kikwete ... sijui kwa nini Tz ni maskini lakini sii yeye. Hivyo ni domo zege.
A domo zege preidaa sipati picha.
Nawashukuru watu ambao wanaendelea kujitambua kama ninyi! Vijana wenye njaa na waliowatumwa kifikra ndo wanaomwelewa Edward! Mimi kwa akili yangu, siwezi kumwelewa wala kutamani kumsikiliza mwizi!!! Akili ya Edward ni ndogo sana, na kamwe siwezi ruhusu akili ndogo iniongoze! Ukitaka kujua ana akili ndogo, tazama jinsi anavyoongopea watu wazima!
Shukrani sana chief! Watanzania tusidanganywe na wezi, itakuwa ni laana ya mojakwamoja kwa nchi yetu kutawaliwa na kundi la wahuni(wezi) mimi nasema kama ndani ya ccm msafi ni Lowassa ukawa watachukua nchi saa 4 asubuhi.
Watz ktk kipindi hiki nchi inahitaj kiongoz shujaa,mwenye maamuz magumu na sahihi ilituweze kuvuka hapa tulipo sasa ktk watu wanaoonyesha nia zao kuongoza tz kupitia vyama mbalmbal n Lowassa pekee ndio mwenye dhamira ya dhati,uthubutu na vission ya kututoa hapa tulipo kwama,lowassa n mtekerezaji sio mbabaisha hana longolongo ktk maamuz yake naomba tumuungen mkono ktk safar hii ya matumain
Edward Kwanini nchi Ilipokuwa Njiapanda Ulikaa Kimya? Ni Kiongozi waaina Gani Wewe?Kuna wakati nchi ilipita kipindi kigumu sana cha sintofahamu.
Kwanza ilikuwa wakati wa Bunge Maalumu la katiba ambapo nchi iliyumba na kutokea kutokuelewana kwa hali ya juu. Na kama sio wapinzani kuamua kutoka nje hakika bunge lile lingeishia waheshimiwa kupigana na kuvuana nguo kabisa.
Edo kama mjumbe ndani ya BMK hakuwahi kusikika akichangia kitu wala kutoa ushauri wakati ule mgumu kwa taifa katika kupata maamuzi yenye tija. Ni kiongozi wa aina gani asiyejihusisha au kuonyesha busara zake pale jambo zito linapo wakanganya watu?
Kukaa kimya ni kuonyesha huna upande au hujui utatuzi wa jambo hilo? Kama ulishindwa utatuzi wa utata wa Katiba jee changamoto za nchi itakuwaje?
Kulijitokeza suala lingine la Tegeta Escrow ambalo kidogo liiangushe serikali ya chama chako Bungeni, mapesa mengi yalichotwa na serikali na chama chako kilivuliwa nguo hadharani ila wewe hakuna aliyekusikia ukisema au kuchangia chochote katika jambo kubwa kama lile jee ulikuwa hujui ufumbuzi wake?
Au wewe ulikuwa huna uchungu na kilichotokea kwa vile wewe hupati maumivu ya hasara ile?
Ukiwa kama Mbunge lile lilikuwa jukwaa lako la kusemea hisia zako, sasa mbona watu leo hawajui kuhusu hisia zako katika lile? Huoni kuwa uwepo wako Bungeni ulikuwa sawa na kile kiti tuu, maana kiti Bungeni huwa kipo mwanzo mwisho wa kikao lakini hakina mchango wowote wa maana kwa kile kizungumzwacho.
Ndio maana watu wanaamini habari kuwa kuna watu matajiri wanamwaga mapesa yao kuhakikisha kuwa unashika nafasi ya juu kabisa kwa vile mambo mabaya kwa nchi hutasema, utakuwa BUBU kama ulivyokuwa Bungeni.
Wezi wako jela, watuhumiwa wa wizi mafaili yao yako polisi mengine kwa DPP na mengine mahakamani, Lowassa yuko jela ipi? na kama ni mtuhumiwa basi mtueleze faili lake liko wapi, otherwise kamwelezeni aliyewatuma kwamba watanzania sasa tunaelewa hizo porojo zenu, mkishindwa kuvumilia hameni nchi.
Aliahidi ataleta mvua ya kutengeneza. Baada ya Richmond Mbunge wa Monduli hats huko kwao haikuonekana
Nitajie mwizi yeyote kati ya hao vibaka wako nani Richmond? Hao wezi wameteka mpaka mahakama na polisi unategemea watathubutu kufunguliwa file?
Rejea mzee wa vijisent escrow aliwafanya nini mahakama ya maadili? Rejea mzee wa Richmond aliwafanya nini ccm walipomwambia ajivue gamba!
Mfumo unawalinda wezi na wanajuana nakwambia mwaka huu patachimbika huyo kibaka wenu mwambieni ajiandae kisaikolojia hatutampa nchi, tungekuwa tumemshawishi sisi tumpe tungempa lakini anashawishi makanisa na misikiti kwa pesa na vikundi unategemea tumpe huyu ni mwizi tu.