Lowassa, Nchi ilipokuwa njiapanda kwanini ulikaa kimya?

Lowassa, Nchi ilipokuwa njiapanda kwanini ulikaa kimya?

Nitajie mwizi yeyote kati ya hao vibaka wako nani Richmond? Hao wezi wameteka mpaka mahakama na polisi unategemea watathubutu kufunguliwa file?

Rejea mzee wa vijisent escrow aliwafanya nini mahakama ya maadili? Rejea mzee wa Richmond aliwafanya nini ccm walipomwambia ajivue gamba!

Mfumo unawalinda wezi na wanajuana nakwambia mwaka huu patachimbika huyo kibaka wenu mwambieni ajiandae kisaikolojia hatutampa nchi, tungekuwa tumemshawishi sisi tumpe tungempa lakini anashawishi makanisa na misikiti kwa pesa na vikundi unategemea tumpe huyu ni mwizi tu.

Nuru ya mnyonge

Hongera kwa akili za kufikirika lowassa kua Rais ni guarantee kila siku tunawaambia tuhuma za kipuuzi zisitunyime kiongozi bora 2015

Na pia kama kweli nyie ni wabobezi na mnafahamu sana LOWASSA kwanini kila siku Mnaleta tuhuma ambazo hazina hata ushahidi?

Mnadhani watanzania ni wajinga? Waache kuchagua kiongozi bora wanaemtaka kisa tuhuma za kipuuzi zisizo hata na ushahidi wala mashiko

Na Tanzania hii unapiga kura ni wewe? Tu?
Tafakari chukua hatua halafu kafabye repair ya ubongo wako
 
Kumbe alikubaka aisee pole sana, embu tuwekee ushahidi wa picha hapa akikubaka ili tumshtaki, au mimba inakusumbua nikuletee ndimu?

Nachojua mimi Richmond ni kampuni ambalo walisema ni hewa cha ajabu nikashangaa baada ya mzee kujiuzuru na ikizingatiwa hakuna pesa hata senti moja ya serikali iliyokuwa imeshatoka, haohao waliosema ni kampuni hewa wakaendelea na mchakato wa kukamilisha mkataba nalo na kulilipa moja kwa moja badala ya kusitisha, hilohilo kampuni hewa likashinda kesi mahakamani, hilohilo kampuni hewa by then dowans wakamualika Obama na mama Clinton kuja kusherehekea pamoja baada ya kulinunua, za kuambiwa changanya na za kwako.

Kasome report ya Dr Mwakyembe kila kitu kiko wazi. Tusitishane kwa ushihidi bana hapati urais over.
 
Nuru ya mnyonge

Hongera kwa akili za kufikirika lowassa kua Rais ni guarantee kila siku tunawaambia tuhuma za kipuuzi zisitunyime kiongozi bora 2015

Na pia kama kweli nyie ni wabobezi na mnafahamu sana LOWASSA kwanini kila siku Mnaleta tuhuma ambazo hazina hata ushahidi?

Mnadhani watanzania ni wajinga? Waache kuchagua kiongozi bora wanaemtaka kisa tuhuma za kipuuzi zisizo hata na ushahidi wala mashiko

Na Tanzania hii unapiga kura ni wewe? Tu?
Tafakari chukua hatua halafu kafabye repair ya ubongo wako

Kasome ripoti ya Dr. Mwakyembe. Huo ushahidi utaukuta mle. Otherwise utakuwa na brain atrophy !
 
M

Hahaha! Huyu Mzee muongo sana huyu. Anasema atawaletea maendeleo wananchi anayatoa wapi? Kwa nini asiyalete kabla ya kwenda ikulu tuamini? Yale Yale ya mvua ya mazingaombwe

Mwe? Mpaka kama sasa hujui maendeleo ya mtanzania yana natoka wapi basi wewe hapa tunachat na wewe kumbe hata hulijuo vizuri Taifa lako yeuwiiiiiiii

Kweli jf imevamiwa kwahahaaaaaaa eti maendeleo LOWASSA atayatoa wapi?

Na kuhusu hyo mvua ni kitu ambacho sio mazingaombwe na kimefanyika thailand na kimefanikiwa na Leo hii nchi ya Australia imekua Mteja mkubwa wa Thailand kwa kununua teknolojia ya kutengeneza mvua .

Na wala wazo La LOWASSA kuhusu hyo teknolojia halimubezwa Bali zoezi hilo lilikwama kutokana na uwezo Mdogo wa kiuchumi wa Taifa letu.

LOWASSA kabla haja ingia ikulu kuna maendeleo kibao ameyaleta alipokua waziri mkuu kama mrad
i wa maji wa ziwa Victoria

Alipokua waziri wa ardhi na makazi alisimamia utekelezaji wa mkakati wa Upimaji viwanja kwa maendeleo ya miji

Alivinja mkataba wa kinyonyaji wa city water

Shule za kata ambazo hata mizengo Pinda anenshukuru juzi katika speech yake

UDOM wanampongeza LOWASSA kwa hilo

Amefanya mambo mengi sana LOWASSA mnaompinga mjifunze kufanya research sio mnakurupuka
 
Poor reasoning ! Unashindwa kuelewa content ndogo namna hiyo unakurupuka tu! Hii kasumba ya kufikiri unajua kuliko mwenzako ndo inalitesa Taifa, nasikitika mpaka sasa hujajibu hoja za mleta uzi unalialia tu humu ndani.
 
Kasome ripoti ya Dr. Mwakyembe. Huo ushahidi utaukuta mle. Otherwise utakuwa na brain atrophy !

Wewe ulieisoma huo report mbona huna weka black and blue hapa

Elezea kila kitu sasa kama umeisoma

unajua ukishakua psychopath unajiona kila kitu unajua hata usivyovijua mwishobwa sikububajitia aibu

LOWASSA ni safiiiiii LOWASSA ndio rais yani kebehi zenu na chuki zenu lakini watanzania wwnye akija timamu na wwnye maono ya mbele wanajua kabisa hili Taifa linamhitaji lowassa
 
Watz ktk kipindi hiki nchi inahitaj kiongoz shujaa,mwenye maamuz magumu na sahihi ilituweze kuvuka hapa tulipo sasa ktk watu wanaoonyesha nia zao kuongoza tz kupitia vyama mbalmbal n Lowassa pekee ndio mwenye dhamira ya dhati,uthubutu na vission ya kututoa hapa tulipo kwama,lowassa n mtekerezaji sio mbabaisha hana longolongo ktk maamuz yake naomba tumuungen mkono ktk safar hii ya matumain

kama edo ni hawala yako kamwambie watanzania hatumtaki
 
Wewe ulieisoma huo report mbona huna weka black and blue hapa

Elezea kila kitu sasa kama umeisoma

unajua ukishakua psychopath unajiona kila kitu unajua hata usivyovijua mwishobwa sikububajitia aibu

LOWASSA ni safiiiiii LOWASSA ndio rais yani kebehi zenu na chuki zenu lakini watanzania wwnye akija timamu na wwnye maono ya mbele wanajua kabisa hili Taifa linamhitaji lowassa
Hata Mwalimu alishasema huyu si mtu safi
 
Monduli hakuna maji safi, madawati, shule mbovu. Moja ya kumi ya hela anayowapa mupayukepayuke ingeibadilisha Monduli
 
Ataishia kuwa tumaini LA mafisadi. Hawatafanikiwa kugeuza ikulu kuwa pango lao. Mungu yupo
 
Kwenye sakata la escrow Hakuchangia hata kwa ku nod. Hansard ni ushahidi. Hakutoa ushauri wowote kwenye maazimio. Ila posho hakuwahi kuachia. Retired PM is tired. Hafai
 
Eti hakamatiki na hatishiki katika safari yake ya matumaini.
 
Back
Top Bottom