Namungula Jr
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 221
- 63
"Tutavuka daraja tutakapolifikia" ni maneno ya busara kutoka kwa Edward Lowassa baada ya kuulizwa atayapokeaje matokeo ya Uchaguzi mkuu.
Ameyasema hayo akihojiwa mara baada ya kupiga kura sasa hivi huko Ngarashi, Monduli.
Pia amehojiwa kwa lugha ya kiingereza na kujibu bila wasiwasi.
We'll see about that. Take what he said, not what "you" think he meant.
Labda kama anamaanisha akifyekwa hatokubali matokeo.
Mbona watu wamepiga kura kwa uhuru???
Mimi nimeshamkata pamoja na kulia lia kwamba ninamuonea
Huku wanauliza iwe je wazalilishaji watoto watolewe jelaLeo saa 2 asubuhi nilikwenda kuchukua Lemara mtaa wa Korongoni shule ya Sekondari Naura hakika nilichoshuhudia binafsi kinatisha waTanzania wanataka mabadiliko.
1.Wapiga kura wanauliza nchi ndogo kama Rwanda wanamiliki ndege 7 Tanzania NIL
2. CCM & Serekali yake wameuwa viwanda alivyojenga Mwl Nyerere vijana hawana ajira.
3. Huduma za afya zimedorora kabisa Kikwete badala ya kuboresha anakwenda kununua magari ya polisi kutupiga.
4. Elimu ya Tanzania imeshuka sana watoto wetu hawana uwezo wa kushindana katika soko la ajira la EAC.
5. Utendaji wa serekali ya Kikwete umeshuka sana vyombo kutoa haki kama polisi,mahakama rushwaa imetamalaki.
6. Huduma za maji & umeme zimezidi kuwa mbaya.
Jina langu linahakikiwa na karani wa tume nawaacha wapiga kura wakiendelea kulalamika lakini wakiwa wamejiandaa kutoa hukumu kali na kupeleka kilio mtaa wa Lumumba.
Is now or never jamani tumpigie kura kwa wingi
Sidhani kama atashindwa Phd yake amesomea kwa lugha hiyo hiyo
We'll see about that. Take what he said, not what "you" think he meant.
Muda wa kampeni ulishaisha
Ataanza na I AM A POLITICIANS.