Lancashire
JF-Expert Member
- Sep 20, 2014
- 14,082
- 10,455
Vipi ile mbinu ya Tanga itatumika leo?
Vipi ile mbinu ya Tanga itatumika leo?
Mkuu hata mimi nashangaa manake wakati JPM anapiga kazi kujikusanyia kura huko mikoani, EL yupo mwembeyanga
TAARIFA MUHIMU KUHUSU MIKUTANO YA KESHO ALHAMISI TAREHEE 1 OCTOBER 2015 YA MGOMBEA URAIS KWA TICKET YA CHADEMA NDG EDWARD LOWASSA
1. Saa 3 - 5 asubuhi, Temeke Mwembeyanga
2. Saa 6 - 7:30 mchana; Segerea, Liwiti
3. Saa 8:30 - 9:30 alasiri TP Sinza/ Uzuri
4. Saa 10:30 - 12 jioni, Kawe Tanganyika Packers...

Mkuu Saa 3-5 Mwembeyanga??Mwembeyanga Gani Mbona Hamna Kitu?Kuna Vurugu Tu
Tunamtaka lowasa awe rais wetu wanaosema ni mgonjwa hawana Sera wamuache akafie ikulu
Makamanda ratiba ya futeni huo uwanja wa Mwembeyanga mtatukumbusha machungu ya ufisadi wa lowasa. List of shame ya Dr Slaa. Tumeambiwa tu shut up! Leo tena mmekuwaje
Nipo Mwembeyanga hapa nasubiria. Nimebadili shift ya kazini niingie mchana ili tu nihudhurie. Shamra shamra ni nyingi..!
Nyie UKAWA nina watu 50 wapo tayari kwa ajili ya kuzimia tuongee biashara.Tanga style inaonekana kuwa na mafanikio angalau mzee apate muda wa kupumzika.