Lowassa Kutikisa Dar es Salaam kesho Oktoba 01, 2015

hii ndo sera ya ccm iliyobaki. afya ya mgombea inasaidia kujenga barabara ngapi?

Kama Lowassa, hawezi hata kupanda ngazi jukwaani, atapata wapi muda wa kusoma, kutafakari, kukaa vikao na kufikiria kuhusu nchi wakati maana muda wake wote utatumika kunywa vidonge na kukandwa na Regina?

Tunataka raisi ambaye ana afya ya kumfanya afanye kazi kila siku.
 
Very poor... Hatutaki rais wa kupiga pushup za hovyo huku amesambaza miguu tigo juu juu.
 
We inakuhusu nini? Mgombea gani hajitambui anakunyakunya ovyoo jukwaani? hahaha mtaisoma namba

Weka picha na video kama ni kweli kwa jinsi navyowajua Lumumba tukio kama hilo likose video... Shame on you endelerni na propaganda zenu masaki IT centre na Lumumba buku saba.
 
kampeni za ukawa ni dar tu, lowasa atakua rais wa dar.
 
Mtaita peopleee mpaka misuli itawabana... Ikifika October 25, MAGUFULI ataibuka na 69% halafu muanze kulaumiana.

LOWASSA = JENEZA LINALOTEMBEA

Mgombea mwenye moyo wa SAA betri zikiisha...... Napita tu kubwa jina.
 
Very poor... Hatutaki rais wa kupiga pushup za hovyo huku amesambaza miguu tigo juu juu.

Hakuna mtu mwenye akili timamu ambaye atachagua JENEZA LINALOTEMBEA = LOWASSA, badala ya Daktari Mkakamavu, MAGUFULI.
 
----- tu, Saddam Hussein alitokea wapi vile #kura kwa Lowassa yako hatuitaki coz ishaharibika kabla haijapigwa#Lowassa mabadilikoooooo#
 
Mgombea mwenye moyo wa SAA betri zikiisha...... Napita tu kubwa jina.

Kweli huyu LOWASSA na Mshikaji wake Hizo Betri za Mioyo yaao Zinawafanya Wawe Hoi?
CPe28QMXAAAFU4x.jpg

Ila Maraisi Wakakamavu kama Mtarajiwa Magufuli Hawahitaji Chochote Kupiga Push-ups. MAGUFULI Yuko Fit maana #HapaKaziTu
CPgB1CfWEAA6I6N.jpg

CPiN5JRW8AAmDYN.jpg
 
We ni kubwa jinga haswa hivi utafananishaje pushup za Obama na huyo.. Heheeeeee makubwa haya xxx
 
----- tu, Saddam Hussein alitokea wapi vile #kura kwa Lowassa yako hatuitaki coz ishaharibika kabla haijapigwa#Lowassa mabadilikoooooo#

Ndio maana hamfai madaraka maana hata Demokrasia hamuiwezi mnapozidiwa na Nguvu Ya Hoja.
 
Obama hajasambaza miguu wala tigo hajaweka juu kama huyo mtu, usimshushe hadhi Rais wa dunia kufananisha na huo upuuzi uliofanyika.
 
We ni kubwa jinga haswa hivi utafananishaje pushup za Obama na huyo.. Heheeeeee makubwa haya xxx

Si ulikuwa unakandia push-up wewe? Sasa unaanza kubadilisha goli. LOWASSA = JENEZA LINALOTEMBEA, wenzake wote afya kibao.
 
Sasa hizo ni pushup wewe jinga? Hiyo ni kama watoto wa primary wanavyofanya shulen, pushup ni za obama huyo yeye bado hatujajua inaitwaje bado tunatafutia jina
 
Back
Top Bottom