Nani alimwambia Raisi anapatikana kwa kura za Dar es Salaam tu?? Maana kila baada ya week anarudi Dar! Mnamtumia mzee wa watu vibaya! Dhambi itakuwa juu yenu nyinyi wenye uchu na madaraka!
TAARIFA MUHIMU KUHUSU MIKUTANO YA KESHO ALHAMISI TAREHEE 1 OCTOBER 2015 YA MGOMBEA URAIS KWA TICKET YA CHADEMA NDG EDWARD LOWASSA
1. Saa 3 - 5 asubuhi, Temeke Mwembeyanga
2. Saa 6 - 7:30 mchana; Segerea, Liwiti
3. Saa 8:30 - 9:30 alasiri TP Sinza/ Uzuri
4. Saa 10:30 - 12 jioni, Kawe Tanganyika Packers...
Makamanda ratiba ya futeni huo uwanja wa Mwembeyanga mtatukumbusha machungu ya ufisadi wa lowasa. List of shame ya Dr Slaa. Tumeambiwa tu shut up! Leo tena mmekuwaje
Lowassa ni mgonjwa hachezi mbali na muhimbili.
MUHIMBILI kesho inabidi wakae tayari kumpokea LOWASSA akiwa mahututi.
Mikutano 4 kwa siku kwa LOWASSA ni sawa na Mzee Kingunge Ngombale Mwiru kukimbia Marathon kwa speed ya waKenya.
Mgawa uzima na anayeunyofoa uzima ni Baba Mungu peke yake.Lowassa ni mgonjwa hachezi mbali na muhimbili.
Vibaka katika ubora wenu
hii ndo sera ya ccm iliyobaki. afya ya mgombea inasaidia kujenga barabara ngapi?
kwani maghufuli mzima? mbona jk alikuwa akizimia majukwaani lakini tulimpa kura?
Mgawa uzima na anayeunyofoa uzima ni Baba Mungu peke yake.
Wewe unayefanya kufuru ya kumdhihski Lowassa kuwa ni mgonjwa, jiulize yuko wapi Mama Kombani aliyewahi kutamka kuwa ni bora Edo amehama chama chao kwa kuwa kawaepushia kuwafia na sasa ni bora anaenda fia Chadema?
Vile vile matamshi ya yule Kada wa CCM Chale wa Ilala ambaye alisema asipelekwe Edo Ikulu kwa kuwa Ikulu imeishiwa bajeti ya mazishi!
Jinsi Mungu wetu wetu alivyo Mkuu ameonyesha Utukufu wake usiofanana na kitu chochote hapa duniani kwa kuwatanguliza 'kuudongo' hao wote wawili waliodhihaki afya ya EL na kumwacha yeye mwenyewe Lowassa akiendelea kudunda na still going strong and stronger and strongest!
Kampeni ya toroka uje imefutika?
Vibaka katika ubora wenu