Lowassa Kutikisa Dar es Salaam kesho Oktoba 01, 2015

Lowassa Kutikisa Dar es Salaam kesho Oktoba 01, 2015

Washauri wa lowassa watakuwa ni watu wenye akili busara na hekima tele
 
Dili la richmond wanalijua chadema leo wapo kwenye uwanja walozindua mapambano ya ufisadi 2007'muulize lisu atakukumbusha.achana na mahaba kwa mwanaume mwenzako
 
hata angekaa kwake tu mimi kura yangu anayo
 
Lowasa ni hatari sana. Yaani ni muda wa kazi lakini watu wamekuja kibao mpaka mwenyewe akashangaa. Hakuna cha malori!
 
Kwan lowasa anagombea ubunge Jmn au vijiji vimeisha maana kila week yupo dar, Hii dar moja mikutano minne, haya mapya mbona, mpk uchaguzi uishe lowasa shm kibao atakua ameacha na akikosa atasingizia goli la mkono
 
Kama huna ratiba yake kaa kimya dawa ikuingie sawasawa! Ina maana Dar hakuna wapiga kura? Mwaka huu mmeshikwa!
Naikumbuka mwembeyanga kwa kujata list ya mafisadi je jana waliongeza idadi kwenye orodha yenu au wameifuta kabisa!
 
Naikumbuka mwembeyanga kwa kujata list ya mafisadi je jana waliongeza idadi kwenye orodha yenu au wameifuta kabisa!

Tena bila aibu wamefanya mkutano Mwembeyanga?! Na huyo mgombea wao fisadi papa top of list of shame! Ni aibu kubwa sana kwa chama tulichokiamini kuwa inapambana na ufisadi kufanya hivi!
 
Hivi hii Team ya kampeni ya EL haijuwi MITUSI,maana naona wanaongea mambo ya msingi tu hawatoi mitusi.kama hawajui wapite huku tuwafundishe
 
Back
Top Bottom