Lowassa Kutikisa Dar es Salaam kesho Oktoba 01, 2015

Lowassa Kutikisa Dar es Salaam kesho Oktoba 01, 2015

Ocampo four

JF Senior Expert Member
Joined
Feb 28, 2014
Posts
5,789
Reaction score
2,159
TAARIFA MUHIMU KUHUSU MIKUTANO YA KESHO ALHAMISI TAREHEE 1 OCTOBER 2015 YA MGOMBEA URAIS KWA TICKET YA CHADEMA NDG EDWARD LOWASSA

1. Saa 3 - 5 asubuhi, Temeke Mwembeyanga

2. Saa 6 - 7:30 mchana; Segerea, Liwiti

3. Saa 8:30 - 9:30 alasiri TP Sinza/ Uzuri

4. Saa 10:30 - 12 jioni, Kawe Tanganyika Packers...
 
Kuna ratiba ya kamanda Hassanali Ilala mbona haionekani.
 
Hii post kwa nini hapo awali imefutwa au wanaogopa mafuriko ya Lowassa? Hahaaaaa hofu ni kitu mbaya sana!
 
Hapo Mwembeyanga si hatari sana jamani kwa UKAWA?

Hapo ndipo Dr Slaa alipomtamka rasmi Lowasa ni mmoja wa mafisadi papa wanaoitafuna nchi. Kwenye list of shame! Ya Dr Slaa.

Ningeomba wabadilishe huu uwanja kwa maslahi mapana ya CHADEMA na UKAWA.
 
Makamanda ratiba ya futeni huo uwanja wa Mwembeyanga mtatukumbusha machungu ya ufisadi wa lowasa. List of shame ya Dr Slaa. Tumeambiwa tu shut up! Leo tena mmekuwaje
 
Makamanda ratiba ya futeni huo uwanja wa Mwembeyanga mtatukumbusha machungu ya ufisadi wa lowasa. List of shame ya Dr Slaa. Tumeambiwa tu shut up! Leo tena mmekuwaje
Wewe snitch, malay, mngese, kocho, mnafki, majina mabaya yote wewe...
endeleaa kutumika kama mndoko tu pumbav
 
Na pushup zinapigwa wapi kesho nina mabaunsa wangu JB na trupu lake nataka kesho wakajipime na Mzee Mzima tena.
 
Back
Top Bottom