Arie power
JF-Expert Member
- Jun 29, 2015
- 2,552
- 1,021
Huyu fisadi akawatawale mafisadi wenzake.
Zee zima ovyoo, choo kimebaki ugambani.
Huyu fisadi akawatawale mafisadi wenzake.
Shut up!Makamanda ratiba ya futeni huo uwanja wa Mwembeyanga mtatukumbusha machungu ya ufisadi wa lowasa. List of shame ya Dr Slaa. Tumeambiwa tu shut up! Leo tena mmekuwaje
Kazi gani hiyo?Hana lolote kuuza sura la maana hana HAPA KAZITU
Leo nimejiandaa kuzunguka na Lowasa, naanza naye Segerea mpaka Kawe
I wish tuungane ila basi tu,tupo pamoja my dear.
Dua la kuku halimpati
Mwewe,shimo unalomchimbia Lowasa utadumbukia mwenyewe!
Makamanda ratiba ya futeni huo uwanja wa Mwembeyanga mtatukumbusha machungu ya ufisadi wa lowasa. List of shame ya Dr Slaa. Tumeambiwa tu shut up! Leo tena mmekuwaje
Hapo Mwembeyanga si hatari sana jamani kwa UKAWA?
Hapo ndipo Dr Slaa alipomtamka rasmi Lowasa ni mmoja wa mafisadi papa wanaoitafuna nchi. Kwenye list of shame! Ya Dr Slaa.
Ningeomba wabadilishe huu uwanja kwa maslahi mapana ya CHADEMA na UKAWA.
Mkuu hata mimi nashangaa manake wakati JPM anapiga kazi kujikusanyia kura huko mikoani, EL yupo mwembeyangaNani alimwambia Raisi anapatikana kwa kura za Dar es Salaam tu?? Maana kila baada ya week anarudi Dar! Mnamtumia mzee wa watu vibaya! Dhambi itakuwa juu yenu nyinyi wenye uchu na madaraka!
Mkuu hata mimi nashangaa manake wakati JPM anapiga kazi kujikusanyia kura huko mikoani, EL yupo mwembeyanga