Arie power
JF-Expert Member
- Jun 29, 2015
- 2,552
- 1,021
Kwa hiyo tatizo ni miguu sasa na sio push-up?
Hizo sio pushup kitaalamu xxx
Kwa hiyo tatizo ni miguu sasa na sio push-up?
Sasa hizo ni pushup wewe jinga? Hiyo ni kama watoto wa primary wanavyofanya shulen, pushup ni za obama huyo yeye bado hatujajua inaitwaje bado tunatafutia jina
Very poor... Hatutaki rais wa kupiga pushup za hovyo huku amesambaza miguu tigo juu juu.
Hizo sio pushup kitaalamu xxx
Very poor... Hatutaki rais wa kupiga pushup za hovyo huku amesambaza miguu tigo juu juu.
kampeni za ukawa ni dar tu, lowasa atakua rais wa dar.
Kwa Hiyo Ulikuwa Umelewa Ulipoandika Hayo Hapo Juu?
Wewe sasa umelewa Ulowassa
lowassa ndo habari ya mujini na vijijini hujui hilo!
Pole sana.
Magufuli = 69%
Lowassa = 23%
Pole sana.
Magufuli = 69%
Lowassa = 23%