Lowassa Kutikisa Dar es Salaam kesho Oktoba 01, 2015

Lowassa Kutikisa Dar es Salaam kesho Oktoba 01, 2015

Uhaba wa maji,miundombinu mibovu,foleni barabarani,ukosefu wa ajira,umaskini,kipindupindu,uchafu wa mazingira ajenda kuu za Mikutano ya Dar!
 
Nani alimwambia Raisi anapatikana kwa kura za Dar es Salaam tu?? Maana kila baada ya week anarudi Dar! Mnamtumia mzee wa watu vibaya! Dhambi itakuwa juu yenu nyinyi wenye uchu na madaraka!

nyie ndo mna uchu wa madaraka miaka 54...achieni na wenginee...lowasa ni shidaah
 
Aaaaaaaghrrr leotena shughuli zinasimama huyu mzee Lowasa aapishwe tu jamani anapendwa mbaka anauzi maana kila anapoenda shughuli zinasimaa aapishwetu hakuna namnatena tayari watanzania wameshaamua.
 
Lowassa ni mgonjwa hachezi mbali na muhimbili.

Ndugu yangu KAMA KWELI HUWA UKIAMKA MZIMA UNAMSHUKURU MUNGU usiongelee AFYA za watu wengine afya ni zawadi toka kwa MUNGU, kuna watoto ambao niwachanga hawajui kitu but wagonjwa,hivyo KESHO yako hauijui chukua TAHADHARI.
 
MUHIMBILI kesho inabidi wakae tayari kumpokea LOWASSA akiwa mahututi.

Mikutano 4 kwa siku kwa LOWASSA ni sawa na Mzee Kingunge Ngombale Mwiru kukimbia Marathon kwa speed ya waKenya.

Wanasema ni mgonjwa, kwanii Magufuli ni mzima?. ...... Fredrick Sumaye
 
TAARIFA MUHIMU KUHUSU MIKUTANO YA KESHO ALHAMISI TAREHEE 1 OCTOBER 2015 YA MGOMBEA URAIS KWA TICKET YA CHADEMA NDG EDWARD LOWASSA

1. Saa 3 - 5 asubuhi, Temeke Mwembeyanga

2. Saa 6 - 7:30 mchana; Segerea, Liwiti

3. Saa 8:30 - 9:30 alasiri TP Sinza/ Uzuri

4. Saa 10:30 - 12 jioni, Kawe Tanganyika Packers...
Nimeipenda hii ya Mwembeyanga kwani huenda tukapata tena list of shame.
 
Lowasa hata akiishia tu kutupungia mkono, hata asipopiga kampeni alale tu tayari kura yangu anayo
 
Lowasa hata akiishia tu kutupungia mkono, hata asipopiga kampeni alale tu tayari kura yangu anayo. Kwani hao waliofanya madudu hawakupiga kampeni? Kampeni ni nini kwani?
 
TAARIFA MUHIMU KUHUSU MIKUTANO YA KESHO ALHAMISI TAREHEE 1 OCTOBER 2015 YA MGOMBEA URAIS KWA TICKET YA CHADEMA NDG EDWARD LOWASSA

1. Saa 3 - 5 asubuhi, Temeke Mwembeyanga

2. Saa 6 - 7:30 mchana; Segerea, Liwiti

3. Saa 8:30 - 9:30 alasiri TP Sinza/ Uzuri

4. Saa 10:30 - 12 jioni, Kawe Tanganyika Packers...
Mwanzo hatukuwa tukielewa kwa nini baubu hachezi mbali na Dar lakini sasa tumeelewa..kwanini asichepuka tu mara moja akaenda Germany kufanya full check up..atawahi tu kampeni
 
Nani alimwambia Raisi anapatikana kwa kura za Dar es Salaam tu?? Maana kila baada ya week anarudi Dar! Mnamtumia mzee wa watu vibaya! Dhambi itakuwa juu yenu nyinyi wenye uchu na madaraka!
Kiafya hatakiwi kuwa mbali na Dar...
 
Nani alimwambia Raisi anapatikana kwa kura za Dar es Salaam tu?? Maana kila baada ya week anarudi Dar! Mnamtumia mzee wa watu vibaya! Dhambi itakuwa juu yenu nyinyi wenye uchu na madaraka!

Hiyo ni style yao ya kupiga kampeni acha kuwapangia na maccm mlivyo mnataman m copy na kupaste kama kawaida yenu, vilaza nyie.
 
MUHIMBILI kesho inabidi wakae tayari kumpokea LOWASSA akiwa mahututi.

Mikutano 4 kwa siku kwa LOWASSA ni sawa na Mzee Kingunge Ngombale Mwiru kukimbia Marathon kwa speed ya waKenya.

Kweli we kubwa jinga.
 
Back
Top Bottom