Lowassa Kutikisa Dar es Salaam kesho Oktoba 01, 2015

Lowassa Kutikisa Dar es Salaam kesho Oktoba 01, 2015

Km ni mwembesimba atatokea ila mwembeyanga subutu mwenye any updates hapo uwanjani atujuze
 
Hakuna cha machungu, acha uongo. Lini na kikao gani ambacho Lowassa alifanya maamuzi ya Richmond peke yake? wadanganye wajinga! Lowassa ni mwadilifu. Alijiuzulu ili kuiepusha CCM na aibu. Nilitegemea Pinda pia angefanya hivyo wakati wa ESCROW. Mbona yeye humwiti fisadi? Maamuzi ya Serikali hufanywa kupitia Baraza la Mawaziri. Kama humjui Mwenyekiti wa Baraza hilo nitafute nikwambie ili uelimike vizuri badala ya kuimbishwa mambo kama kasuku.

kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi. Umeyapa za uso Mkuu haya malofa.
 
Km ni mwembesimba atatokea ila mwembeyanga subutu mwenye any updates hapo uwanjani atujuze
We gamba huoni picha hizo? Mwembeyanga hapa watu ni wengi sana na bado wanazidi kuja kwa wengi, mheshimiwa rais Lowassa anakaribia kufika hapa.
 
Ratiba inasema saa 3-5 hivi sasa hivi ni saa ngapi mkuu???
 
Fanyeni kazi acheni ndoto za alinacha,hao ukawa ni muungano wa saccos leo kafukuzwa mwingine nccr,na safari hii msitundanganye mmeibiwa kura,ni ujinga wenu umesababisha tusiwaamini leo mko kwenye uwanja fisadi mkuu alipotangazwa 2007
 
Nyie UKAWA nina watu 50 wapo tayari kwa ajili ya kuzimia tuongee biashara.Tanga style inaonekana kuwa na mafanikio angalau mzee apate muda wa kupumzika.

mbona una kiherehere sana, pilipili usiyoila inakuwashia nini? we badala uka organize malori ya kupeleka watu kwenye fiesta uko hapa? kwanini usaliti shuhuli za chama chako. umbea tu ndio umekukolea mpaka kwenye kope za macho.
 
Lowassa ameshakuwa Raisi baada tu ya kuingia UKAWA

Anasubiri tar. ya kuingia Ikulu coz kikwete tumempa muda wa kuondoa vitu vyake na familia yake hatutaki asahau hata gazeti lenye picha yake coz ni mchafu wakupindukia

Lowassa - Mabadiliko
Mabadiliko- Lowassa
 
1443689770262.jpg
 
TAARIFA MUHIMU KUHUSU MIKUTANO YA KESHO ALHAMISI TAREHEE 1 OCTOBER 2015 YA MGOMBEA URAIS KWA TICKET YA CHADEMA NDG EDWARD LOWASSA

1. Saa 3 - 5 asubuhi, Temeke Mwembeyanga

2. Saa 6 - 7:30 mchana; Segerea, Liwiti

3. Saa 8:30 - 9:30 alasiri TP Sinza/ Uzuri

4. Saa 10:30 - 12 jioni, Kawe Tanganyika Packers...

Wapelekee MONDULI hiyo taarifa
 
Lowassa ameshakuwa Raisi baada tu ya kuingia UKAWA

Anasubiri tar. ya kuingia Ikulu coz kikwete tumempa muda wa kuondoa vitu vyake na familia yake hatutaki asahau hata gazeti lenye picha yake coz ni mchafu wakupindukia

Lowassa - Mabadiliko
Mabadiliko- Lowassa

Mtaisoma namba mwaka huu
 
Back
Top Bottom