Mukulu wa Bakulu
JF-Expert Member
- Aug 12, 2014
- 4,050
- 12,968
ndio nampendea lowassa
very creative
Kumbe ndivyo mnavyojidanganya?
Magufuli alivyonunua ile meli mbovu,alivyokurupuka kukamata meli ya samaki ilikuwaje?
Hapo akiwa waziri tu aliweza kulisababishia taifa hasara kubwa hivyo,vipi akiwa rais?
Huo ubongo wake ambao haujaathiriwa haya ndio maamuzi aliyoyafanya.
Acha kuishi kwa nahadharia,subiri ujionee Tanzania mpya chini ya Lowassa.
Hata huku kwetu mkuu. Yaani ni noma.Kila mtu anampenda lowassa, hapa ofisini kwetu kila mtu anampenda lowassa,sisi wafanyakazi wa umma wengi tunampenda lowassa,familia zetu zinampenda lowassa.
Ukifika hapa ofisini kwetu,ofisi ya umma,sio bosi sio wafanyakazi wote tunampenda lowassa hasa creativity yake na mikakati yake,hatukani mtu,hana siasa za maji taka na hatukani chama cha mtu,yeye ni sera zake tu na elimu bure.
Mungu atupe nini watanzania, Lowassa atosha.
Toroka ujeeeeeeeeeeeew.
Kwani inaonyeshwa kituo gani mkuu? Mimi niliwakomesha CCM niliweka mpower full kujiachia.Nilikuwa naisubiri hii siku kwa hamu sana lakini Tanesco wameshafanya yao,ila hakijaharibika kitu.
Ni furaha kuona wenzetu wameamua kuungana na sisi.
Hadi wanaamua kufanya maamuzi kama haya tena kwa muda huu kidogo uliobakia basi amini nawaambieni hali ya CCM ni mbaya,Lowassa ndiye mshindi hadi sasa.
Kwa nini wameamua kutumia neno "toroka"?
Nilikuwa naisubiri hii siku kwa hamu sana lakini Tanesco wameshafanya yao,ila hakijaharibika kitu.
Ni furaha kuona wenzetu wameamua kuungana na sisi.
Hadi wanaamua kufanya maamuzi kama haya tena kwa muda huu kidogo uliobakia basi amini nawaambieni hali ya CCM ni mbaya,Lowassa ndiye mshindi hadi sasa.
Hata shetani alivyokatwa mbinguni alishuka na maelfu ya wafuasi...hakuna jipya hapo, chukueni vibaka wenzenuPopoma langu leo najua patakuwa hapakaliki ila hakuna jinsi,ni vizuri ukajifunza kupitia hili maana usipojifunza sasa October nitakupoteza kabisa! DuppyConqueror
ndio nampendea lowassa
very creative
amilyroley toroka uje na wewe