Lowassa kuongoza kampeni ya 'Toroka Uje'

Huyo Magufuli mzima?Vile vi battery kwenye moyo vya kazi gani?
Loliondo alienda kufuata nini?
Huna habari anatembea na kibobo cha dawa?
Hadi hapo nani tia maji,tia maji?
Macho yasikudanganye ukadhani.......
Chadema ni wazito wa kufikiri..hapa suala si ugonjwa au uzima..wote ni wagonjwa...ila hapa tunaongelea ugonjwa ambao unaathiri ubongo na uwezo wa kufanya maamuzi...
Navyowajua watanzania, jamaa watamsoma afu watakuwa wanamsuburia kipindi nyaya zimelegea wanamchomekea mikataba aanguke wino!
 
Na wasivyojitambua hao maskini washabiki wa Chadema maslahi wako bize kuchekelea mambo haya!

Kwani kuna ubaya gani, mtu akitoka chadema/ ukawa mnasifia, ila akitoka ccm mnaponda. Siasa ndivyo ilivyo, ni heri usi comment kaa kimya sindano ikuingie taratiiiibu
 

Dogo amini nakwambia,pamoja na rushwa za mamilioni mnazo mwaga,ccm hamkutegemea hali hii. Pamoja na matusi na kejeli mnazotoa,chama kikongwe,kinachojidai kina itikadi safi,mmeshikwa pabaya. Binafsi nawashangaa wale reputable figures (once regarded reputable) kama kina mzee Salim A, Warioba, Butiku, na wengine wachache,kuendelea kuwemo chamani humo wakiongozwa na minds chafu kama za kina nape, Nashangaa sana. Hata kama wasijiunge na vyama vingine,wangetoka ccm. Hiki chama hakina legacy tena,zaidi ya matusi.
Btw,EL na ukawa wamewabana makende... Hata akija Mwandosya,Kingunge,Mwapachu, si haba. They'll go down in History. Ccm si mama yangu,wala baba yangu.
 

Kumbe ndivyo mnavyojidanganya?
Magufuli alivyonunua ile meli mbovu,alivyokurupuka kukamata meli ya samaki ilikuwaje?
Hapo akiwa waziri tu aliweza kulisababishia taifa hasara kubwa hivyo,vipi akiwa rais?
Huo ubongo wake ambao haujaathiriwa haya ndio maamuzi aliyoyafanya.
Acha kuishi kwa nahadharia,subiri ujionee Tanzania mpya chini ya Lowassa.
 
Kwa nini wameamua kutumia neno "toroka"?
 

Haya mashambulizi kwa Kada kamwe harudi nakwambia, akirudi nitag, hahahhahahahahah tutafika tuu. Heko mama Tanzania
 
Hivi ndio vitu vya msingi vya kujiuliza na kitu chochote kile lazima kujiuliza kabla hakija tokea
Mimi ninacho fahamu hata kama ccm nao wakilazimisha matokeo hii nchi haita tawarika watu wamechoka harafu hawana kazi so kikitokea cha kutokea chochote hio ndio itageuka kuwa kazi.
 
Habari Mpasuko


Lowassa Kuzindua kampeni ya Toroka Uje, kesho Bahari Beach Hotel.


Tutegemee kuyaona mengi!


Chanzo :Blog Habari
Hayawi hayawi hatimae yamekuwa,Kwa miaka mingi kwenye chaguzi Ccm wamekuwa wakifaidika na utamaduni wa kubeba kura kutoka vituoni na mabox kuelekea halimashauri.
Na hapo ilitokea sintofahamu nyingi ya uchakachuaji na dhuluma.Kwenye uchaguzi huu ni tofauti sana,Tume ya uchaguzi Nec imeagiza matokeo yote kujumulishwa vituoni na hatimae mtokeo ya vituoni kupelekwa halimashauri moja kwa moja,Kwenye karatasi iliyosainiwa na mawakala wote na sio kupeleka Box za kura kama miaka ya nyuma
Kwa maana hiyo itakuwa vigumu sana watu kucheza faulo kirahisi,Nec ya mwaka huu imenijengea imani kwa mabadiliko haya makubwa na ni dhairi kwa mtindo huu Ccm washapotea kwenye ramani ya dunia ifikapo October 25
Shukrani zimwende Jiji Lubuva kwa uzalendo uliotukuka na msimamo dhabiti kwa taifa lake.
 
Nilikuwa naisubiri hii siku kwa hamu sana lakini Tanesco wameshafanya yao,ila hakijaharibika kitu.
Ni furaha kuona wenzetu wameamua kuungana na sisi.
Hadi wanaamua kufanya maamuzi kama haya tena kwa muda huu kidogo uliobakia basi amini nawaambieni hali ya CCM ni mbaya,Lowassa ndiye mshindi hadi sasa.
 

Teh teh teh...sasa mbona hata maamuzi anayofanya sasahv ni sahihi zaidi ya magamba waliozidiwa?
 
Liweke vizuri basi ili na ss tulifuatilie kwa uzitowake.
 
Hii ndio dawa ya chama kisichopenda kusikia maonyo! wacha kife tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…