chakii
JF-Expert Member
- Sep 15, 2013
- 21,369
- 27,785
Habari Mpasuko!
Lowassa Kuzindua kampeni ya Toroka Uje, kesho Bahari Beach Hotel.
Tutegemee kuyaona mengi!
Chanzo: Blog Habari
Lowassa Kuzindua kampeni ya Toroka Uje, kesho Bahari Beach Hotel.
Tutegemee kuyaona mengi!
Chanzo: Blog Habari
Kampeni maalumu ya kuwapokea wageni wetu inazinduliwa leo na The Great Lowassa. Ni kampeni maalumu ya kuwapokea wale wageni wetu tuliowambia wasubiri kwanza wasiwahi kutoka.
Sasa mwendo mdundo tetemeko kuu linazinduliwa leo.Wale wa nyumba ya jirani waandae maji ya kupoza presha.
Hapa ni Leo Bahari Beach DSM
Kampeni dhoofisha CCM na kukaribisha wageni kuzinduliwa Leo. Nadhani ni ITV watakuwa live saa kumi jioni.
#TOROKAUJE
#NatakaKuchekaNajikaza
View attachment 293083