Lowassa kuongea na vyombo vya habari

Lowassa kuongea na vyombo vya habari

CDM hatumtaki aise, waunde chama kingine! CDM ni chama cha kisasa na cha kisomi zaidi! Hatutaki dirt politics ndani ya Chadema, we are united against the so called wauzaji wa nchi yetu.
Okay, mi nilikuwa namjibu mangi hapo juu (a.k.a morpheus, a.k.a Furious).
 
Nilifikiri ni katika kufuata nyayo za swahiba wake Rostam kujivua gamba kumbe ni yaleyale ya urafiki wangu na JK si wakukutana barabarani kazi kwelikweli
 
amepata chargi toka mchungaji Joshua alikoenda kujirecharge. Hana lolote, mbona muda wote alikuwa kimya kama alikuwa na nia njema na nchi yetu.

Hii ni political Timing
 
Tunamsubiri sana tu, UFISADI hatukubali hata tone hata aje nani!!!!!!!!!!
 
Chini ya rais mwinyi alikuwa na scandal ya ardhi,
Chini ya rais kikwete scandal ya energy,
ajiuzulu tu uongozi ndani ya chama. Au ahamie CDM.

Mkuu elewa kua CDM si kichaka cha kulea MAFISADI kwa hyo futa kauli yako vingne inawezekana umetumwa kuchafua hali ya hewa
 
Mkuu elewa kua CDM si kichaka cha kulea MAFISADI kwa hyo futa kauli yako vingne inawezekana umetumwa kuchafua hali ya hewa
Hapana mzee, atagombea monduli..... atapata, lakini nadhani haitakuwa kwa tiketi ya CCM. Tunataka wafanyakazi au wakulima period.
 
Hapana mzee, atagombea monduli..... atapata, lakini nadhani haitakuwa kwa tiketi ya CCM. Tunataka wafanyakazi au wakulima period.

Tusubiri atasema yapi ambayo wenzio watamjibu na nn itakua mwendelezo wake,lets wait and see the good move
 
EL anatarajia kuzungumza na waandishi wa habari leo!atazungumzia mambo 3 mojawapo richmond.naona huo ndio mwanzo wa kampeni urais 2015
 
WAZIRI Mkuu aliyejiuzulu, Edward Lowassa leo anatarajiwa kuzungumza na vyombo vya habari katika mkutano ambao utazungumzia mambo makuu matatu
  1. Kampuni ya kufua umeme ya Richmond ambalo lilisababisha ajiuzulu wadhifa huo, Februari 2007.
  2. Taarifa zinazomhusu ambazo zimekuwa zikichapishwa katika baadhi ya vyombo vya habari nchini.
  3. Mgogoro ndani ya CCM mkoani Arusha, ambao unatokana na mgawanyiko miongoni mwa makada na viongozi wa chama hicho. “Pia anasema kwamba ataanzia pale alipoishia, siku ile alipozungumza bungeni kuhusu Serikali kufanya uamuzi mgumu lakini hakutakuwa na kumshambulia mtu,”
Chanzo: Mwananchi
muda tafhadhali , saa ngapi ataongea? atakuwa ukumbi gani? ingependeza kama TV moja wapo ingerusha mazungumzo hayo live ili tupate kusikia, ili kuondoa mkanganyiko ambao unaweza kujitokeza wa mara waandishi wameongeza chumvi na vitu kama hivyo.
 
Back
Top Bottom