Unajua huko chini kama kuna kitu hawakivumilii ni ufisadi. Unajua adhabu yao ni nini kwa mafisadi? Unafikiri wanaangalia hata sura zao?
Mzee Mwanakijiji mada yako nzuri na inajitosheleza.
Lakini mada inashindwa kuona the otherside of the coin.
EL alikuwa mwanamtandao, mtandaoni watu walikula yamini kuitawala nchi hii lakini hawakuwa na succsession plan baada ya Kikwete kutoka madrakani!
Tatizo lililodhahiri na linaonekana wazi ni kwamba uadui kati ya waliokuwa wanamtandao ni mkubwa hata kuliko uadui na vyama pinzani.
Its a do or die situation.
Lowassa anajua fika kuwa asiposhinda kinyang'anyiro cha urais, rais ajaye atamgeuza piriton.
The gentleman is between an stone and a hard place!
HIVI MWANAKIJIJI, kwani mtu akisema kipaumbele chake ufisadi inamaanisha kuwa vitu vingine havitafanyika?
HIVI MWANAKIJIJI, kwani mtu akisema kipaumbele chake ufisadi inamaanisha kuwa vitu vingine havitafanyika?
Kwahiyo atakaekuja na kipaumbele cha ufisadi, hatashughulika na elimu? Kwani elimu haiwezi ikatumika kuelimisha watu wakaacha kupokea au kutoa rushwa? au wakafunzwa kutokuwachagua mafisadi katika ngazi mbalimbali za uongozi?
Hivi ndugu yangu unaishi sayari gani? hivi unajua ni kiasi gani kimetumika katika "kuelimisha" watu kuhusiana na rushwa. Inawezekana hata hujawahi kusikia tangazo la "Liangalieni Limbukeni Hili.." kama elimu ingekuwa inawafanya watu wasiwe mafisadi Nigeria lingekuwa taifa la watu safi kabisa Afrika!
Hivi Ni kwanini Lowasa na nyie wafuasi wake hampendi kusikia neno "UFISADI"?Nimeshangaaa sana post ambayo mwanakijiji ameiandika,ningemwona wa maana kama angesema tumchague Membe wake. Povu linalomtoka si bure. MSOMI GANI ANAEJIITA MCHAMBUZI anaetaka kutuaminisha kuwa kama jipaumbele cha mtu ni kitu fulani basi vitu vingine havitakwenda. Hivi mtu akisena mwaka huu kipaumbele changu ni ujenzi wa nyumba basi hatakula, hatawapeleka watoto shule, hatalala,hatajilinda na wezi, hatasali. Ama kweli Mwanakijiji ni mchumia tumbo kama wachumia tumbo wengine.
HIVI MWANAKIJIJI, kwani mtu akisema kipaumbele chake ufisadi inamaanisha kuwa vitu vingine havitafanyika?
Kwahiyo atakaekuja na kipaumbele cha ufisadi, hatashughulika na elimu? Kwani elimu haiwezi ikatumika kuelimisha watu wakaacha kupokea au kutoa rushwa? au wakafunzwa kutokuwachagua mafisadi katika ngazi mbalimbali za uongozi?
Hivi ndugu yangu unaishi sayari gani? hivi unajua ni kiasi gani kimetumika katika "kuelimisha" watu kuhusiana na rushwa. Inawezekana hata hujawahi kusikia tangazo la "Liangalieni Limbukeni Hili.." kama elimu ingekuwa inawafanya watu wasiwe mafisadi Nigeria lingekuwa taifa la watu safi kabisa Afrika!
Kwa kuwa marais masikini wameshatuongoza vya kutosha,na wametufikisha tulipo. Kwa nini tusimpe urais tajiri ili nae tuone atatupeleka mpaka wapi!? Akizingua si tunammwaga tu muda ukifika!
ndiyo msingi unaowashikilia, ndiyo msingi unaoshikilia nyumba. ukiligusa hilo neno nyumba inaangukaHivi Ni kwanini Lowasa na nyie wafuasi wake hampendi kusikia neno "UFISADI"?
That the point ambayo nimeipata humu" kwakweli sijawahi msikia ata akitamka hilo neno" si kwamba mi ni mfuasi wake sna au mkereketwa sana wa sera zake. To me I think katika wote ambao ad sahivi wamejitokeza naona bora yy sijui labda atokee mwengine mana muda bado.
Kwanini unaona yeye ni "bora". Hili limekuwa likisemwa na baadhi ya watu sasa kwamba "bora Lowassa". Ubora wake ni nini hasa?
lowasa apewe nchi hii kwa lipi alilowahi kufanya la kupigiwa mfano ?we mzee angalia haya kateni jina la lowassa mtupe mtu wenu alafu akibugi tutawatafuta tuwapige masingi