Binafsi sipendi uchoyo au umimi. when you work as teamwork then kila mtu hulazimika kufanya juu chini kuhakikisha lengo linafanikiwa na sio nani kafanya nini. Watanzania hatuhitaji kumpa Edo nafasi nyingine ya kufanya! nasema hivi nikiwa na maana moja. huyu mtu alikuwepo serikalini kwa muda mrefu, ameyaona matatizo ya taifa kwa jicho tofauti na wengine ambao hawajawahi kukaa juu huko. na ufumbuzi wa matatizo hayo anayosema/kujidai anayajua vyema ni kwa nini hakutoa ushirikiano kwa team yake (CCM) ku-overcome hayo matatizo?Edo ni mchoyo, mbinafsi, ana umimi, ni jeuri. bora angekuwa na yote hayo huku anajua angalau tungesema anataka kutengeneza system yake afanye nayo kazi ila kiukweli hajui uongozi. Kiongozi hawi na sifa hizi. mabadiliko sio lazima uyalete kwa kukaa ikulu. hata huko nje ukiweza kuhamasisha usafi mtaani kwako ni mabadiliko! ukiwa na elimu ya kilimo ukawasaidia wanakijiji wa ulikozaliwa njia bora za kilimo tutasema unafanya mabadiliko! ukiweza kuongoza watu wakafikia lengo la kimaendeleo ni mabadiliko pia.kwa atakaesema misaada makanisani na misikitini ni mabadiliko anakosea maana inagusa tabaka flani tu. naona ni kazi ya kueneza injili au uislamu. Edo is FAKE. he is just trying to use some guys kufanikisha malengo yake, kwanza abadilishe jamii yake,