Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 34,104
- 43,357
- Thread starter
- #221
umekosea general meaning ya priority!!!
na najua unajua sema kwa sasa akili yako inatumiwa!!!
sera ya kilimo kwanza haikumaanisha kutoshuhulikia kero nyingine!!! na hata ya elimu kwanza haimaanisha hatashuhulika na kero nyingine!!!!
fungua ubongo bhana !!!
Ndiyo tatizo lilipo; mnafikiria ufisadi ni "kero nyingine". So mnathibitisha hoja yangu; bado hamjaelewa (nawajumuisha hapa wote wenye kumuunga mkono Lowassa) uzito, hatari, kina, ubaya, uovu na matokeo ya ufisadi katika nchi. Mnaona ni kama 'tatizo jingine" tu.