FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,506
- 123,802
sifa ya mtu kuchaguliwa kuw kiongoz watz bado hatuna weredi huo wengi tupo bora liende hatalowasa ukipita stashangaa
= weledi /ueledi
sifa ya mtu kuchaguliwa kuw kiongoz watz bado hatuna weredi huo wengi tupo bora liende hatalowasa ukipita stashangaa
Mbona hujadili hoja badala yake unakuja na lamli chonganishi!Mwanakijiji ni team membe lazma ampinge lowassa kwa kila namna... hawa ndio walikuwa waanzilishi wa CCJ na kina Sitta... hana jipya huyu mtu ni mchumia tumbo tuu..
HIVI MWANAKIJIJI, kwani mtu akisema kipaumbele chake ufisadi inamaanisha kuwa vitu vingine havitafanyika?
Ukimuona mtu mchafu ukasema ni mchafu utakuwa umemchafua au umeeleza kilicho dhahiri. Kumchafua mtu kuna presume kuwa mtu huyo alikuwa msafi kwanza. Vinginevyo, asingejitahidi sana kujaribu "kujisafisha". Ukiona mtu anaenda mtoni kuoga mara kwa mara ujue...
HIVI MWANAKIJIJI, kwani mtu akisema kipaumbele chake ufisadi inamaanisha kuwa vitu vingine havitafanyika?
Kwahiyo atakaekuja na kipaumbele cha ufisadi, hatashughulika na elimu? Kwani elimu haiwezi ikatumika kuelimisha watu wakaacha kupokea au kutoa rushwa? au wakafunzwa kutokuwachagua mafisadi katika ngazi mbalimbali za uongozi?
Mada za kumchafua EL zimekua nyingi sasa. Inanifanya nijue yy ni bora kwa jinsi mnavyokesha kumchafua
Ndugu labda nnaomba unisaidie kitu kimoja katika maisha yako yote toka umfahamu Lowassa ni lini umesikia kawahi kukemea ufisadi!!?
Asante sana mkuu. Wanasema eti kipaumbele kitakuwa elimu wakati ufisadi umetanda kila kona! Hizo fedha watatoa mbinguni? NI SAHIHI kabisa kusema umaskini wetu unasababishwa na ufisadi! Ona wanatudanganya wataweka vipaumbele kwenye elimu wakati wanazidi kuongeza majimbo ya uchaguzi kwa wabunge wasiokuwa na mchango wowote katika maendeleo ya nchi yetu bali hasara tupu!
Think big! Utamalizaje ujinga bila nyenzo? Jibu ni huwezi. Hivyo yabidi uwe na nyenzo ndio uushinde ujinga! Fedha zilizopotea kwenye kashfa zote zilizotokea kwa kipindi cha miaka kumi iliyopita (zilizojulikana na zisizojulikana) zingetumika kwenye elimu tungekuwa na shule bora kabisa. Wewe unaona logic, kwa mfano, ya kuongeza majimbo ya uchaguzi wakati hatuna shule za kuridhisha? Again think big!
Mada za kumchafua EL zimekua nyingi sasa. Inanifanya nijue yy ni bora kwa jinsi mnavyokesha kumchafua
That the point ambayo nimeipata humu" kwakweli sijawahi msikia ata akitamka hilo neno" si kwamba mi ni mfuasi wake sna au mkereketwa sana wa sera zake. To me I think katika wote ambao ad sahivi wamejitokeza naona bora yy sijui labda atokee mwengine mana muda bado.
Na swali jingine, je, tunafanya lolote ili watambue crisis hiyo?
Tutakuwa tumeshajua kwamba kumbe tajiri hafai. Tuangalie na vigezo vingine. Kwani kwenye planning ukiona plan A imeshindwa si unajaribu Plan B?yaani miaka mitano mingine au kumi baadaye? ukimwaga akatokea tajiri mwingine unafanyaje?
Lakini si CCJ ilikuwa na dhamira nzuri hata kama haikufanikiwa? yaani wapambanaji wa ufisadi ndani ya CCM. Nia ilikuwa njema lakini mbinu iliuwa hafifu na isokuwa na utashi wa kutosha. Kwa hivyo kama MK alikuwa na uelekeo huo, sio mchumia tumbo bali ni mzalendo wa kweli (naomba utofautishe uzalendo wa kweli na ACT-wazalendo).Mwanakijiji ni team membe lazma ampinge lowassa kwa kila namna... hawa ndio walikuwa waanzilishi wa CCJ na kina Sitta... hana jipya huyu mtu ni mchumia tumbo tuu..