chakii
JF-Expert Member
- Sep 15, 2013
- 21,659
- 28,842
Lowassa hajasema atatoa chakula ili apewe kura, wala hajasema chakula watapewa chadema peke yao wala sisiem peke yao, suala la njaa halina itikadi! ficha ujinga wako mkuuNaomba serikali imwache atoe hiko chakula ili kwa mara ya pili aoneshwe jinsi watanzania walivyokuwa wanafiki kwasababu kura wataipa CCM tu.