COARTEM
JF-Expert Member
- Nov 26, 2013
- 3,622
- 3,696
I doubt kama wewe ni CCM.Duuh, Mh. Lowassa atatuliza CCM na kujuta, sikatai apeleke chakula, ila CCM tuamke sasa, wenzetu wanachukua trust na utu wa wananchi na wananchi watajua wao akina Lowassa na UKAWA ndio tegemeo lao badala ya CCM iliyo na dola.. am scared kwa kweli, hili litakuwa pigo takatifu 2020, CCM kidogo tulicho nacho tutoe kama kuna njaa kweli.. 2020 itakuwa ni pigo, am keeping shut, tired, sbb nimeshasema sana, tunapitwaaaaa..!!!
Ujinga wa Watanzania ndiyo mtaji wa wanasiasa.
Wanasiasa watatumaliza hawa. JPM anakosea sipingi, hivi hiyo hoja ya Chakula ndiyo ya kumnyima JPM kura? Fisadi atatoa chakula cha Ths 2 trilion.,,,then mnampa kura anatuubia zaidi yaTshs 200 trillions akiwa madarakani.
Watanzania hatujui nini tunachokitaka.