Habari za Zanzibar
JF-Expert Member
- Dec 18, 2024
- 617
- 426
DKT. MWIGULU: NJAA DUNIANI INAHITAJI SULUHISHO LA MUDA MREFU
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, amesema mapambano dhidi ya njaa yanahitaji uwekezaji wa muda mrefu katika kilimo endelevu, maendeleo ya vijijini na mifumo imara ya chakula, sambamba na misaada ya dharura.
Amesema hayo Oktoba 22, 2026, alipohutubia Mjadala wa Kimataifa wa Norman E. Borlaug (Borlaug Dialogue), jijini Des Moines, Marekani, akimwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan.