godfrey wilson
JF-Expert Member
- Jul 2, 2016
- 446
- 302
Njaaa IPO watapata kiasi gani au polojo tu et kilo tano tano ndio nn kama sio uchuro huo
Wewe naweee!!!! Hiyo ni njaa. Na njaa haina shujaa...Si angeliwajengea nyumba zilizobomolewa na tetemeko???
Tumaini letuMilele amina. Kristu
Kwani chadema wana shamba?
Baada ya mwezi mmoja nitawahojiKama kuna sehemu yenye njaa namuunga mkono lowasa kupeleka chakula hilo tamko alilolitoa kanisani linaendana na Biblia Yesu alisema nilikuwa na njaa mkanilisha kazi ya chama cha siasa ni kutafuta ufumbuzi wa matatizo halisia ya wananchi. KWA KUTOA UFUMBUZI HALISIA KWA MATATIZO HALISIA ONEKANA KIHALISIA CHADEMA NA LOWASSA HONGERENI Ila MTIMIZE AHADI ZENU TUMIENI HATA RUZUKU KUHUDUMIA WENYE NJAA HALISIA MIMI KAMA MLIPA KODI AMBAYO NI RUZUKU MNAYOPEWA NIKO PAMOJA NA NINYI KWA HILI. TUNATAKA VYAMA VYOTE VITOE UFUMBUZI KWENYE MATATIZO HALISIA. NILIWAPONGEZA HATA ACT WAZALENDO KWA KUSOMESHA BURE BURE WATOTO WOTE KIDATO CHA TANO NA SITA KWENYE HALMASHAURI YAO. HONGERA CHADEMA HONGERA LOWASSA MKIWEZA TAFUTENI HATA PESA ZA KUKOPESHA WANAFUNZI ELIMU YA JUU. MTAUNGWA MKONO NA KILA MTU MIMI NIKIWEMO. TUNATAKA CHAMA CHOCHOTE KITATUE MATATIZO HALISIA YA WANANCHI KEEP UP LOWASSA AND CHADEMA
[emoji3][emoji3]milele aminaTumsifu Yesu Kristo
Kama wameshindwa kuwajengea nyumba wahanga wa tetemeko je wataweza kutoa chakula kwa watanzania million 2 wenye njaa
.....Hahaha!! Tamthilia ya chadema episode 103 .
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] nimechekaAtakamatwa mtu na ataulizwa "Umetoa wapi shamba kubwa la kugawa chakula? Na mlipe kodi"
SureSounds like a man who supposed to rule this country.
My presidentHe's the one!
Unacheka cheka nini? Na wewe lipia kodi kicheko chako.[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] nimecheka
mpaka sasa wapi pameripotiwa watu kufa kwa njaa?Wanachanga hela na kununua mahindi, unga wa udaga, matembele nk then wanagawa kwa wanaokufa na njaa
Mfalme Suleiman sijui angeamuaje? Nani mwenye uchungu zaidi?Hapa ni mpango wa kutaka kuwanunua watu kwa chakula. rais kasema yeye ndio anajua kama kuna njaa nchini kwa hiyo huu ni mpango wa kuwahadaa watu kwa chakula cha bure wabweteke. kwa usemi wa jpm ina maana serikali ndio itasema kama kuna njaa. sio chadema wanalazimisha ili wahonge watu chakula kutoka waliberali wenzao wa huko ulaya
Niombe radhi kwa kosa gani,nimemtaja faru john,ni wapi nilipomtaja mtu?
Kaah mpaka wewe?![emoji15] [emoji15] [emoji15]Sounds like a man who supposed to rule this country.