Lowassa: CHADEMA tutatoa chakula kwa wenye njaa

Lowassa: CHADEMA tutatoa chakula kwa wenye njaa

Hapo sasa umeniuza moyo, still we have the chance, sbb kama ni chakula hata hao CHADEMA hawajapeleka bado..

Bado tuna nafasi, usitukatishe tamaa, plse
Shida ni kulamba matapishi,uko tayari?pia kwakuwa watani wameshatamka neno msaada,mutaonekana mumepeleka kwa shinikizo.
 
muda utasema ukweli na watu watachukua hatua.
tutulie tu.
 
Mjumbe wa kamati kuu Chadema, Mhe Edward Lowassa akiwa na mbunge wa Bukoba mjini wameudhuria ibada katika kanisa la KKKT. Akiwa kanisani Mhe Lowassa ametoa kauli.

''Mh rais amesema hatatoa chakula. Mimi nimewasiliana na chama changu tumeona tuwape chakula watanzania. Naamini dunia itasikia'', alisema Lowassa.
Hapa ni mpango wa kutaka kuwanunua watu kwa chakula. rais kasema yeye ndio anajua kama kuna njaa nchini kwa hiyo huu ni mpango wa kuwahadaa watu kwa chakula cha bure wabweteke. kwa usemi wa jpm ina maana serikali ndio itasema kama kuna njaa. sio chadema wanalazimisha ili wahonge watu chakula kutoka waliberali wenzao wa huko ulaya
 
Tafuta humu kama kunasiku nilimpongeza au kumkubari lowassa
Mimi niliapa kamwe Liwassa siwe kumkubari awe ccm au mbinguni
Huyu ni tatizo
Ni moja ya mafisadi hatari ktk Taifa hili.
Nyie mfanye yoote lakini kudhani lowassa atakuwa Rais wa Tanzani ni ndoto na kujidanganya kamwe.
All in all mkuu Mimi Nina Uhuru wa kuchagua ilimradi sijavunja sheria,ingekuwa namuunga mkono gaidi hapo sawa!Mungu akipenda Lowasa atakuwa rais, asipopenda basi tutamhukuru pia

Kwa hiyo mkuu wewe endelea na Magu Mimi niache na fisadi Lowasa,unajuaje pengine ndio ananifanya niende chooni kwa mshahara wa 5000 kwa kila post.
 
Kuahidi tu sio tatizo kwa sababu hata wewe unaweza kuahidi utawapeleka wanadamu wote mbinguni kama Mungu asipowapeleka. Huwezi kukosa watu wajinga watakaoamini ahadi yako.

Hata ahadi ya Lowassa haiwezi kukosa wajinga watakaoamini.
Ahadi hii ikitekelezwa uje upindue pindue maneno hapa.
Mnaona raha wenzetu wanapokufa njaa na kupewa maneno ya shombo toka kwa mtukufu?
Mbona ccm imezipotezea ahadi nyingi tu na hatusemi?
Huyu kaahidi subiri utekelezaji. Mhukumu asipotekeleza.
 
Kama vile propaganda za DANGOTE kufunga kiwanda ndio propaganda za baa la njaa litakavyoumbua wapinzani ambao kwa sasa wamejibainisha kama wapiga ramli kudhuru taifa letu.

Ni muda mfupi ujao watabadilisha hoja,nampongeza Lowassa kwa kuwafubaza akili,Zitto endelea kuburuta wajinga kwani sasa wanakuona mwokozi wao,jitakase kijanja kijanja.
Duh...Kua uyaone, mimi nilidhani njaa ni ishu ya kitaifa kumbe ni swala la upinzani? Mhh...Ishu ya Dangote ulikuwa unaifahamu vizuri? au ni bendera ufwata upepo..???
 
Atatoa kiasi gani kwa muda gani na watu wote hadi ufike msimu wa mvua walime hadi mavuno au kuwaonjesha tu au VIP tujuwe?
 
Kama vile propaganda za DANGOTE kufunga kiwanda ndio propaganda za baa la njaa litakavyoumbua wapinzani ambao kwa sasa wamejibainisha kama wapiga ramli kudhuru taifa letu.

Ni muda mfupi ujao watabadilisha hoja,nampongeza Lowassa kwa kuwafubaza akili,Zitto endelea kuburuta wajinga kwani sasa wanakuona mwokozi wao,jitakase kijanja kijanja.
Anza upya, hoja yako imekosa kiwiliwili.
 
Hapa ni mpango wa kutaka kuwanunua watu kwa chakula. rais kasema yeye ndio anajua kama kuna njaa nchini kwa hiyo huu ni mpango wa kuwahadaa watu kwa chakula cha bure wabweteke. kwa usemi wa jpm ina maana serikali ndio itasema kama kuna njaa. sio chadema wanalazimisha ili wahonge watu chakula kutoka waliberali wenzao wa huko ulaya
Wanawahonga ili iweje?
Mwenye njaa ndo anayejua machungu.
Rais tumempa chakula anakula na kusaza. Hadi kije kiishe ili ajue kuna njaa nchini sio leo.
Wanaoumia sasa lazima wasaidiwe ili wapate nguvu ya kukabiliana na njaa nyingine itakayosababishwa na ukame.
 
All in all mkuu Mimi Nina Uhuru wa kuchagua ilimradi sijavunja sheria,ingekuwa namuunga mkono gaidi hapo sawa!Mungu akipenda Lowasa atakuwa rais, asipopenda basi tutamhukuru pia

Kwa hiyo mkuu wewe endelea na Magu Mimi niache na fisadi Lowasa,unajuaje pengine ndio ananifanya niende chooni kwa mshahara wa 5000 kwa kila post.
Ngoja nianze na Mnafiki papa Wa mitandaoni kisha wewe
b5ea982338f91dab1996eb7035aed232.jpg
 
hii habari Haita Rushwa Hewani kabisa kwenye Taharifa za Habari.

independent Television Kwisha Habari Yake. Labda chanel 10.
Mmhhh.....chaneli teni wakilusha kesho wanafungiwa....si wameshaonywaa
 
Tafuta humu kama kunasiku nilimpongeza au kumkubari lowassa
Mimi niliapa kamwe Liwassa siwe kumkubari awe ccm au mbinguni
Huyu ni tatizo
Ni moja ya mafisadi hatari ktk Taifa hili.
Nyie mfanye yoote lakini kudhani lowassa atakuwa Rais wa Tanzani ni ndoto na kujidanganya kamwe.
Haya tuambie ufisadi wake.
 
Shida ni kulamba matapishi,uko tayari?pia kwakuwa watani wameshatamka neno msaada,mutaonekana mumepeleka kwa shinikizo.

Kivyovyote itakavyokuwa, ili mradi wananchi wapate chakula, wao CDM wakipeleka kidogo na sisi CCM tutapeleka tu, wala sio shinikizo ndio hivyo, kwani si wananchi wetu sote..!! Siasa ngumu sana ya Tz hasa ukiwa na mtu kama Mh. Lowassa lazima tuwe macho, sbb anakimbiz mchakamchaka kweli, ndio hivyo, ni ushindani bana
 
Unajua kama nakufuata baba unipe viatu nivae shule,ukiniambia sina ela ,na mama akaja aksema nitampa,baadae wewe(baba)ukatoa,basi najua bila mama nisingepata,nextime natamani mama ndiyo awe na ela nipate moja kwa moja bila kuanza kwa baba kusiko na uhakika.
Hii ni impact ya baba kukosa kujali au huruma ya moja kwa moja.
Pole sana Jay One.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom