ZILLAHENDER MPEMA
JF-Expert Member
- Apr 4, 2015
- 2,055
- 4,245
Hadi muda huu napochangia hoja yako mahakama ya mafisadi ina kesi moja tu,tena ya uvuvi haramu.Kama Lowassa ni fisadi na mwizi,mnashindwa nini kumpeleka kwenye mahakama hiyo ya mafisadi?
Tetemeko halikuletwa na serikali,serikali haina shamba,mnasema mna njaa mnataka niwapikie?,Kama huna nauli ya kivuko,piga mbizi,wanaotaka lami hapa BUZIKU wanye kinyesi barabarani Mimi nitaleta buldoza lishindilie kinyesi,Mimi sijaribiwi,atakayenijatibu nitampoteza ndani ya dk.5,na maneno mengine mengi yenye ukakasi.
Je,tulihitaji mtu wa aina hii?Amiri jeshi mkuu pia ni mfariji mkuu,wananchi waliokata tamaa wanajisikiaje wanaposimangwa na mtu waliyetarajia atumie hazina ya serikali yake kuwasaidia?
Hata kama unajifanya zezeta,Ukweli utabaki kuwa Ukweli,maneno ya mtawala wetu yanalibomoa Taifa badala ya kuliunganisha,hii ni laana.