Lowassa: CHADEMA tutatoa chakula kwa wenye njaa

Lowassa: CHADEMA tutatoa chakula kwa wenye njaa

Mjumbe wa kamati kuu CHADEMA, Mhe Edward Lowassa akiwa na mbunge wa Bukoba mjini wameudhuria ibada katika kanisa la KKKT. Akiwa kanisani Mhe Lowassa ametoa kauli.

''Mh rais amesema hatatoa chakula. Mimi nimewasiliana na chama changu tumeona tuwape chakula watanzania. Naamini dunia itasikia'', alisema Lowassa.
Hahahahaaa!
 
hii habari Haita Rushwa Hewani kabisa kwenye Taharifa za Habari.

independent Television Kwisha Habari Yake. Labda chanel 10.
Angalia channel ten na azam two hao lazima warushe, mi ITV siku hizi siangalii kabisa ujinga
 
Mtu wa vitendo
HUYU ALISEMA ATATUTAFUTIA CHAKULA NA KUKIGAWA NCHI NZIMA,TAYARI AU NDO...........?

16807560_450342062023240_7264510205822128785_n.jpg
 
Mtu wa vitendo
HUYU ALISEMA ATATUTAFUTIA CHAKULA NA KUKIGAWA NCHI NZIMA,TAYARI AU NDO...........?

16807560_450342062023240_7264510205822128785_n.jpg
hamisi mgeja very faithful and loyal to el. always behind the master. 'nitakufuata eeh bwana popote uendapo..ulipo kupata riziki nipo'
 
safi sana hakika umemaliza ngoja Chagadema watie mguu hapa uone mitusi
 
Mbona kule nyumbani kwao Monduli NA sehemu jirani kote Hali ni mbaya sana, so angeanzia huko kwanza ndio tungejua kweli anamsimamo wa kutimiza ahadi alizotoa.

Charity begins at home
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom