Lowassa: CHADEMA tutatoa chakula kwa wenye njaa

Lowassa: CHADEMA tutatoa chakula kwa wenye njaa

Hicho chakula hakitafika kwa walengwa watasema kipitie ofisi ya waziri mkuu
 
Leo nimegundua kwa nini ccm wanamuhofia sana edo
Hivi huyu mzee hajaandika kitabu chochote
 
mimi napinga kwa nguvu zote vitu visivyosaidia wananchi kwenye matatizo halisia viwe oparation Ukuta, oparation kata funua au oparation acha Godbless Lema kwa kumwita mkuu wa mkoa shoga au tetea Lisu kwa kumwita rais dicteta uchwara hivi vitu havina tija wala ufumbuzi wa matatizo halisia ya watanzania lakini kama chama kinatoa ufumbuzi halisia kikampa mwenye njaa chakula hiyo juhudi nitaiunga mkono kwa nguvu zote kwa hili nasema tena lowasa hongera na Chadema hongera[
Hongera sana mkuuu. Ungekuwa karibu ningekutafta tukale hata nyamachoma
 
Kuahidi tu sio tatizo kwa sababu hata wewe unaweza kuahidi utawapeleka wanadamu wote mbinguni kama Mungu asipowapeleka. Huwezi kukosa watu wajinga watakaoamini ahadi yako.

Hata ahadi ya Lowassa haiwezi kukosa wajinga watakaoamini.
Roho mbya zenu zitawaponza. Mbona hujawai kuhoji ahadi za magu?
 
Tena wewe ficha unafiki wako
Wewe ni linafiki limoja hatari
Kabla lowassa hajawa mungu wenu
Ulikuwa ukipost upumbavu humu
Leo unaropoka !!
Punde naweka humu unafiki wako
Mkuu so sorry naona nimekukwaza sana hatuhitaji kugombana hapa ni mawazo huru,Mimi ni kweli nilikuwa namchukia Lowasa lakini ni binadamu gani asiye badilika kifikra na hata kusamehe?kama ni unafiki ni wangu mkuu.Naamini ulikuwa hupendi nilivyokuwa namchukia Lowasa sasa iweje tena unachukia navyimpenda.Hapo nani mnafiki?
 
Mh. Lowassa anajikusanyia points..!! CCM CCM, CCM, tuwe macho, tunapigwa mabao, sasa hivi, Mh. Lowassa anajua kutumia sana PENYE TATIZO NA KUTATUA KWA VITENDO NA KUPATA SIFA KUBWA YA UTU WA WANANCHI NA HAPO ANAJENGA NJIA SALAMA 2020

CCM jamani, tunapigwa bao jamani, tuamke, wananchi wanatuona, let's do something, kama kuna njaa kweli, tutoe kidogo tulichonacho, tutaumia sana 2020, am scared..!! Aaaarrghh, tunapitwa jamani..!!

Kuahidi tu sio tatizo kwa sababu hata wewe unaweza kuahidi utawapeleka wanadamu wote mbinguni kama Mungu asipowapeleka. Huwezi kukosa watu wajinga watakaoamini ahadi yako.

Hata ahadi ya Lowassa haiwezi kukosa wajinga watakaoamini.
Muda ndio muamuzi mkuu!
 
Mungu aendelee kukulinda EL..
Hakika ungekuwa wewe pale kwenye jumba jeupe..
Vitu kama njaa na matatizo ya wananchi wako ungevitatua bila kigugumizi.
 
".....Rais amesema hatoi chakula, mimi nimejadiliana na chama changu tumeona tufanye mpango wa kuwatafutia watanzania chakula.

Hata kama ni cha kuomba nje ya nchi ninaamini dunia itatusikia..", Edward Lowassa, Bukoba Mjini, Kagera15 Januari 2017.

Duuh, Mh. Lowassa atatuliza CCM na kujuta, sikatai apeleke chakula, ila CCM tuamke sasa, wenzetu wanachukua trust na utu wa wananchi na wananchi watajua wao akina Lowassa na UKAWA ndio tegemeo lao badala ya CCM iliyo na dola.. am scared kwa kweli, hili litakuwa pigo takatifu 2020, CCM kidogo tulicho nacho tutoe kama kuna njaa kweli.. 2020 itakuwa ni pigo, am keeping shut, tired, sbb nimeshasema sana, tunapitwaaaaa..!!!
 
Sipingi msaada, but lazima tuwe na long term plan? Hivi tutaendelea na hali hii mpaka lini? Tutatawaliwa na WAZUNGU mpaka mwisho wa dunia hii.
 
Duuh, Mh. Lowassa atatuliza CCM na kujuta, sikatai apeleke chakula, ila CCM tuamke sasa, wenzetu wanachukua trust na utu wa wananchi na wananchi watajua wao akina Lowassa na UKAWA ndio tegemeo lao badala ya CCM iliyo na dola.. am scared kwa kweli, hili litakuwa pigo takatifu 2020, CCM kidogo tulicho nacho tutoe kama kuna njaa kweli.. 2020 itakuwa ni pigo, am keeping shut, tired, sbb nimeshasema sana, tunapitwaaaaa..!!!
Ccm hawana UTU
 
"Anaejua kuna njaa nchi hii ni Rais,mimi ndio naejua wapi kuna njaa na wapi hakuna.Tanzania hii haina njaa wala watu hawana njaa",anasema Rais JPM.

Mpaka 2020 sijui hali itakuwaje.
 
Back
Top Bottom