Lowassa: CHADEMA tutatoa chakula kwa wenye njaa

Lowassa: CHADEMA tutatoa chakula kwa wenye njaa

Kama kuna sehemu yenye njaa namuunga mkono lowasa kupeleka chakula hilo tamko alilolitoa kanisani linaendana na Biblia Yesu alisema nilikuwa na njaa mkanilisha kazi ya chama cha siasa ni kutafuta ufumbuzi wa matatizo halisia ya wananchi. KWA KUTOA UFUMBUZI HALISIA KWA MATATIZO HALISIA ONEKANA KIHALISIA CHADEMA NA LOWASSA HONGERENI Ila MTIMIZE AHADI ZENU TUMIENI HATA RUZUKU KUHUDUMIA WENYE NJAA HALISIA MIMI KAMA MLIPA KODI AMBAYO NI RUZUKU MNAYOPEWA NIKO PAMOJA NA NINYI KWA HILI. TUNATAKA VYAMA VYOTE VITOE UFUMBUZI KWENYE MATATIZO HALISIA. NILIWAPONGEZA HATA ACT WAZALENDO KWA KUSOMESHA BURE BURE WATOTO WOTE KIDATO CHA TANO NA SITA KWENYE HALMASHAURI YAO. HONGERA CHADEMA HONGERA LOWASSA MKIWEZA TAFUTENI HATA PESA ZA KUKOPESHA WANAFUNZI ELIMU YA JUU. MTAUNGWA MKONO NA KILA MTU MIMI NIKIWEMO. TUNATAKA CHAMA CHOCHOTE KITATUE MATATIZO HALISIA YA WANANCHI KEEP UP LOWASSA AND CHADEMA
Cut the loong shytt short. Hypocrite!
 
Mambo ya ikulu yanatoka wapi,mada ni kuwaga chakula kwa wenye njaa has a Kagera,nyie ndio wanga wenyewe
Tena wewe ficha unafiki wako
Wewe ni linafiki limoja hatari
Kabla lowassa hajawa mungu wenu
Ulikuwa ukipost upumbavu humu
Leo unaropoka !!
Punde naweka humu unafiki wako
 
Kama kuna sehemu yenye njaa namuunga mkono lowasa kupeleka chakula hilo tamko alilolitoa kanisani linaendana na Biblia Yesu alisema nilikuwa na njaa mkanilisha kazi ya chama cha siasa ni kutafuta ufumbuzi wa matatizo halisia ya wananchi. KWA KUTOA UFUMBUZI HALISIA KWA MATATIZO HALISIA ONEKANA KIHALISIA CHADEMA NA LOWASSA HONGERENI Ila MTIMIZE AHADI ZENU TUMIENI HATA RUZUKU KUHUDUMIA WENYE NJAA HALISIA MIMI KAMA MLIPA KODI AMBAYO NI RUZUKU MNAYOPEWA NIKO PAMOJA NA NINYI KWA HILI. TUNATAKA VYAMA VYOTE VITOE UFUMBUZI KWENYE MATATIZO HALISIA. NILIWAPONGEZA HATA ACT WAZALENDO KWA KUSOMESHA BURE BURE WATOTO WOTE KIDATO CHA TANO NA SITA KWENYE HALMASHAURI YAO. HONGERA CHADEMA HONGERA LOWASSA MKIWEZA TAFUTENI HATA PESA ZA KUKOPESHA WANAFUNZI ELIMU YA JUU. MTAUNGWA MKONO NA KILA MTU MIMI NIKIWEMO. TUNATAKA CHAMA CHOCHOTE KITATUE MATATIZO HALISIA YA WANANCHI KEEP UP LOWASSA AND CHADEMA
Mshauri na Mwenyekiti wa Chama cha CCM atoe ufumbuzi kwenye matatizo halisia.

"Njaa, unataka mimi nikakupikie chakula?" alitania Mwenyekiti.

Link MAGU, MWANZA: Wananchi walalamika njaa, Rais Magufuli awajibu "Mnataka nije niwapikie?"
 
Msanii katika fani yake ya usanii

Sound bite politics at its best.

Kama alishindwa kuwapelekea maji watu wa Monduli akiwa mbunge, Waziri na Waziri Mkuu, ataweza kugawa chakula kama itatokea baa la njaa?

Tanzania kuna vituko vya wanasiasa

Hii nchi kuna mtu anaweza kujitokeza na kudai ana uwezo wa kuwapeleka watu mbinguni hata kama Mwenyezi Mungu hataki na kuna watu wajinga wataamini.
 
Mwenye mamlaka ya kusema kuna njaa ni rais. Chakula cha nn akati rais kasema njaa hakuna
 
mimi napinga kwa nguvu zote vitu visivyosaidia wananchi kwenye matatizo halisia viwe oparation Ukuta, oparation kata funua au oparation achia Godbless Lema kwa kumwita mkuu wa mkoa shoga au tetea Lisu kwa kumwita rais dicteta uchwara hivi vitu havina tija wala ufumbuzi wa matatizo halisia ya watanzania lakini kama chama kinatoa ufumbuzi halisia kikampa mwenye njaa chakula hiyo juhudi nitaiunga mkono kwa nguvu zote kwa hili nasema tena lowasa hongera na Chadema hongera[
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom