Lowassa ataweza kampeni kweli?

Sijawahi kumuona lOWASA akila hadharani. Nimesikia analishwa siku hizi. Hapo kwenye dhifa ya kitaifa akialikwa huko majuu iatakuwaje.. unaweza ukadhani nakashifu lakini just think critically.

mimi mwenyewe sijawahi kukuona wewe ukila HADHARANI.
 
Huyu kijeba hawezi kitu kabisa na huu ni mpango wa Mungu
 
Yetu macho, tarehe ya uchaguzi inaweza kusogezwa mbele kwa miezi mitatu zaidi tusipoangalia.

Sio kweIi Iowassa yuko fit mbya mno, nafikiri haongei sana cause campaign bado hazijaanza
 
Kuna jamaa siku ya kuhitimisha kampeni yaani kesho uchaguzi, alipiga mweleka wa hatari kwenye umati mkubwa jicho likageuka,ulimi nje,mwili mlenda. Watu tukajua safari imeiva lakini alichahuliwa na kadunda for ten years.
Kwa hiyo afya ya MTU anaijua mwenyewe na daktari wake.
Hata wewe mleta mada waweza jiona uko byeee kumbe ukifanya uchunguzi unakuta una tezi la kisasa
 
Unajua mtu anae juwa hana maneno mengi ila asiye jua anamaneno sio mchezo ndio maana wahenga wanasema debe tupu haliishi kelele ila lenye kitu limetulia tuli
 

mkuu umenifurahisha,hadi nimejisikia raaaha.
 
Nimejikuta nacheka mwenyewe mpaka jirani wananishangaa!! Kweli hii ndo JF, mwee!!
 
Kazaneni kuomba Mungu atupe Rais makini na mwenye nguvu ya kuhimili mikiki mikiki ya kisiasa

Wewe akili yako iko visiginoni aliyekwambia rais anabeba zege au kulima nani! Na ushike adabu yako mzee wa bush..a kafanya nini mliyemleta kwa mbwembwe zote eti kijana! Magufuri hana Brand atauzikaje?
 
Huyo alikuwa anatimiza masharti ya waganga wake wa kienyeji kutoka Ivory Coast na Papua New Guinea. Katika awamu zote ilibidi aanguke. After that basi hakuna mtu wa kumdhuru ama kwa majini, madawa au silaha za moto. Usicheze na siasa wewe na mambo mengine yaache tu kama yalivyo!
 
mojawapo ya vitu vinavyonikera toka kwa wanaUKAWA ni kufanya justifications za kipuuzi katika mambo nyeti.
1. Wakati Lowassa anahamia Chadema mkaulizwa kwanini mnampokea mtu mliyemtuhumu fisadi mkajibu kwa hoja ya kipuuzi eti katubu na kutumia mistari ya biblia kuhalalisha hilo. Isitoshe mkasema Lowassa sio fisadi kwa sababu hajapelekwa mahakamani. Ikumbukwe anayetubu huweka kila kitu hadharani na kurudisha vile alivyoiba. Kuhusu richmond mzee alikiri kuhusika na kujitetea kuwa aliamrishwa toka juu. Angefuata mifano ya wengine waliokataa kuburuzwa kwa mfano Edwin Mtei ningemwelewa.
2. Baada ya kubanwa kwamba agenda ya mafisadi mnaifuta mkasingizia tatizo sio mafisadi ni mfumo. Mniambie hapa Lowassa anawezaje kujiepusha na uhusika wa huu mfumo mbovu uliopo? kama tatizo ni Kikwete yeye Lowassa si ndo mhusika mkuu kumweka madarakani?
3. Tatizo la kutoweza kuzungumza mbele ya watu (public speaking) kwa lowassa ni kubwa halafu UKAWA mnajibu kirahisi eti yeye ni mtu wa vitendo sio maneno. Hivi unaweza kwenda kwenye interview ukawa unashindwa kujieleza na ukapata kazi? Ikumbukwe kwa sasa nchi nyingi zinataka rasilimali za TZ sasa kama rais mtarajiwa kuzungumza hawezi si itakuwa janga?
4. Lowassa hana sera anazozisimamia anachotaka yeye ni kuingia Ikulu tu. Kaulizwa kuhusu hao marafiki zake badala ya kujibu kaishia kusema nauchukia umaskini. Asiwe anatoa majibu mepesi.
 

Kwani tunamchagua Lowassa aende kupiga porojo kama Kikwete? Maana mwisho wa siku tunahitaji matendo siyo porojo!
 
So what!.....idiot!
 
Kampeni wote tutaipiga. Anza na watu waliondani ya nyumba yako, kijiwe, kitchen party, baggy part etc. Kila mtu afanye pale alipo. Rolling the carpet model
 
Abdelaziz Bouteflika wa Algeria, mwaka jana 2014 alishinda uchaguzi wa Raisi kwa zaidi ya asilimia 80, licha ya kuwa anasogezwa kwa msaada wa baiskeli ya kusaidia wagonjwa wasiojiweza. Soma habari hii tafadhali kisha tafakari:
" Despite ailing health and being
confined to a wheelchair, Abdelaziz
Bouteflika won a fourth term in office
by a landslide. He took over 80% of
the vote, according to official results.
His main opponent, Ali Benflis, has
cried foul and says he will not
accept the tally."
SOURCE: France 24, Latest update : 2014-04-18
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…