Lowassa ataweza kampeni kweli?

Kichwa chake kipo poa???? umemsikia mtoto wake jana???
Hili watanzania tunatafuta bomu. litatulipikua siku yoyote.


Kaka hii ya mtoto wake sijaikia jamani, mtoto wake amelalamika nini tena?
 

Huyu hawezi ni vioja tu
 
Umeshawahi kufuatilia hotuba za Obama huwa zinakuwa za muda gani? Kinachotakiwa sio kuongea muda mrefu bali ni kuongea vitu vyenye mantiki. Hata hivo kampeni ni suala la utaratibu tu, lakini tumeshafanya maamuzi tunachosubiri ni tarehe 25 Oktoba tu.

Obama yeye nani na anatuhusu nini sisi
 
Mkuu naona unajipa madaraka ya Mungu ohooo!!!!!!!!!!!!!!! naona unajisahau kuwa hamna anayejua siku yake acha kufuru
 
Jamani, uhai unatoka kwa Muumba. Yeye ndio anajua siku ya kutuchukua kila mmoja wetu. Acheni hoja dhaifu jamani.

Ndo hapo sasa ndugu yangu ,,,,yaan watu wana hoja za kipuuz sana,,,wakitangulia wao je?
 
usiwe na hofu nimipango ya mungu ashikishwe adabu amewaibia watanzania mda mrefu,nilipost thread yenye mrengo huu asubuhi wameisogeza mbali,muwaache watu wajadili.

Hata mimi tabia hii nimekwisha i-note sana,wako well organised - wakija kukemewa baadae utasikia eti 'wanaonewa' sijui nini sijui! Kwa nini mnaingilia uhuru wa watu wa kujieleza wanacho amini - si kila mtu anataka kufuata mkumbo, mnataka hata tukiona mashimo mbele tunyamaze tu au mnataka tuseme yale ambayo mnataka kuyasikia.
 
Huyo wanamuumiza kwa madawa, kwa sasa ni teja la madawa, hatembei bila madawa. Na akishayapigilia anakuwa kama zombie aka msukule. Hata la kusema mpaka aambiwe sema hivi.

Tanzania ni nchi ya ajabu sana, hivi hawa wanaomshabikia hawalioni hilo?
Tuondolee harufu ya janaba hapa
 
JK alikuwa akianguka mpaka ikawepo hofu kubwa.
Huyooo anamaliza miaka yake kumi...
 
Huu ni wakati wa kuomba wadhamini si kampeni,subiri kampeni usipende kuwa mganga wa kienyeji.
 
Mungu anamakusudi yake ,kwa Bina-adamu , unapokuwa na pesa Mingi but huwezi tibu Afya yako ni Mapenzi ya Mungu , Nilidhani ilikuwa wakati mzuri kwake wa kujiandaa zaidi na Maisha mengine kuliko kukimbilia kujaza Mafuriko .....sio sifa Mungu amsaidie AAugue pole tu , Amiri Jeshi Mkuu Unapaswa uwe fiti TUKUBALI , TUKATAE , HABARI NDIO HIYO
 

unataka Rais mwenye maguvu ili uendelee kuishi kwenye maisha duni??au unataka Rais asiyeweza kusimama kwa lisaa limoja kwenye hotuba, ila utaishi kama peponi??

Watanzania wenzangu,kama Lowasa akiingia IKULU basi hii Nchi itakuwa pepo ndogo.

MUNGU bariki Tanzania,MUNGU Mbariki LOWASA.
 

Hee eti pepo ndogo?
Never trust politicians, they are up to their interest than yours ...
 

LOWASA HUYO HUYO MGONJWA. :lock1::lock1: HATUMTAKI.
 
Sijawahi kumuona lOWASA akila hadharani. Nimesikia analishwa siku hizi. Hapo kwenye dhifa ya kitaifa akialikwa huko majuu iatakuwaje.. unaweza ukadhani nakashifu lakini just think critically.

Duuuuuu hii kiboko
 
Jamani, uhai unatoka kwa Muumba. Yeye ndio anajua siku ya kutuchukua kila mmoja wetu. Acheni hoja dhaifu jamani.

Ludi kwenye mada!Mada sio kifo mada ni jinsi Eddy atakapoweza kuikabili kampeni kuzunguka nchi nzima kumwaga sera zaidi ya Sekunde 1080 mji baada ya mji kijiji hadi kijiji...:A S confused:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…