Lowassa asababisha timua timua ITV

Lowassa asababisha timua timua ITV

Huyu mzee simpendi,lakini huwa sioni kama ni jambo la busara kumsimanga afya yake,suala la kuwa mgonjwa halijalish wewe ni tajiri au maskini.tumponde kwa mengine lakini mambo ya afya yake tumuachie yeye na mungu wake.

Kumbe na we kuna wakati unakuwa Akili na Utu AJABU. hebu toa semina humo UGAMBANI
 
Hata angekuwa muhumbili icu anatuma email kura yangu nj kwa lowassa!!!!
 
Tena hiyo clip ipo kwenye facebook page ya Chadema. Sijaelewa siku hizi page yao inawakosoa wenyewe!!
 
Waliotoa ile clip wamevunja miiko ya kazi pengine wawaulize mawakili wanapoongea faragha na wateja wao mangapi wanaambiwa maovu lakini wanaendelea kuwatetea?

Kimsingi uwe ukawa au ccm ni kwamba wafanyakazi wamechemsha sana wanaua biashara ya station
 
Yeye anagombea urais ndio sababu, cheo cha mwisho kabisa, kwa ugonjwa wake anaweza hata kuamuru makombora yavurumishwe ...

Hivi kweli ccm imefika mahali majitu yoote ni mazuzu?kama kweli mnavyodai ni mgonjwa Waikiki mikiki ya kampeni angeiweza???jaribuni kuwa wastarabu na kuwa wabunifu..issue zingine mwachieni mungu la sivyo mtaendelea kupukurika na unafiki wenu!
 
Tutamchagua na familia yangu yenye watu 5!Lowasa awavyo vile vyovyote!
Mabadiliko kwanza!
 
Je clip zinazoonesha maiti za waliomkashifu nazo inakuwaje.maana yeye ni mdhaifu tu na kura yangu na familia yngu tumeshampigia wala siitaji ushauri.
 
Watanzania ni watu wa ajabu eti hawampendi lowasa lakini wanaipenda ccm iliyowafanya wawe hivyo walivyo kwa miaka mingi
 
Watanzania ni watu wa ajabu eti hawampendi lowasa lakini wanaipenda ccm iliyowafanya wawe hivyo walivyo kwa miaka mingi

Lowasa ni binadam km wewe na mimi. Kumpenda binadam mwenzako ni jukumu ulilo agizwa na Mwenyezi Mungu. Lkn Lowasa kwenye uongozi CCM kakaa muda gani? Na kafanya nini? Maana CCM ni watu kwahiyo akina Lowasa na wenzake ndo wametufikisha hapa.
Hapa anachofanya ni kutuchezea akili ili aendelee kutuongoza/ kutupeleka kubaya zaidi.
I say NO to HYPOCRISY! Angefanyia mabadiliko huko huko CCM ningemwona wa maana zaidi. Nina kura moja nitaitumia vizuri!
 
Watanzania ni watu wa ajabu eti hawampendi lowasa lakini wanaipenda ccm iliyowafanya wawe hivyo walivyo kwa miaka mingi

Kwani lowasa miezi mitatu iliyopita alikuwa chama gani..hebu jiulize angepita kwa ccm ungekuwa unaongea nini sasa hivi..fikiria kwa kichwa sio viroba
 
Liwake jua inyeshe mvua Lowassa nitampigia kura hata kama atakua yuko kaburini
 
Huyu mzee simpendi,lakini huwa sioni kama ni jambo la busara kumsimanga afya yake,suala la kuwa mgonjwa halijalish wewe ni tajiri au maskini.tumponde kwa mengine lakini mambo ya afya yake tumuachie yeye na mungu wake.

well said. Nakubaliana na wewe 100 per cent.
 
wacheni kumkufuru mungu kwa kumwita lowassa mgonjwa kama nyiye ndiyo mliomuumba.

Jiulize swali moja tu la msingi ni kwa nini wagombea wengi wanaoonekana kuwa wako fit sana ndiyo wanapukutika na kumwacha lowassa ambaye anadaiwa kuwa mgonjwa?

Hiyo inatuonyesha namna mungu anavyotuonyesha utukufu wake mkuu.

kwani mkuu ugonjwa ni kukufuru...? Kama kuumwa aibu basi mahospitalini kusengekuwa na watu waliolazwa....

Lowassa mgonjwa, sio tatizo lolote kuwa mgonjwa... Kuumwa ni kitu cha kawaida sana ...
 
Hutudanganyi kitu.tutamchagua lowassa akafie hukohuko ikulu kuliko hili pombe za makufuli ya john
 
Hiyo ndiyo Mengi anaiita saratani ya uongo.
video kama imevuja wanaomchukia lowasa wangeirusha pale pale bila kuchelewa lakini bado wiki moja wote musiomkubali itabidi mumkubali.

Wanaomchukia kivipi? Ulishaiona video aliyojinyea?
Raisi na pempasi khaaa!!!! Nyie vipi
 
kwani mkuu ugonjwa ni kukufuru...? Kama kuumwa aibu basi mahospitalini kusengekuwa na watu waliolazwa....

Lowassa mgonjwa, sio tatizo lolote kuwa mgonjwa... Kuumwa ni kitu cha kawaida sana ...

Ni kweli kabisa Mkuu.
Na awe wazi tu asitumie nguvu kuficha hilo. Na UKAWA wasidhani kudanganya watu ili waingie ikulu ni kitu kizuri hawatu onyeshi dalili nzuri za kuwa waadilifu.
Wanamtesa tu mzee wa watu! Ukiingia ikulu kwa kutumia uongo utabadilika kuwa mtakatifu ukisha ingia ikulu?
 
Kwa hali aliyonayo kwenye ile clip , wacha akimbie tu mjadala kwani hawezi huyu mzee
 
Back
Top Bottom