Lowassa asababisha timua timua ITV

Lowassa asababisha timua timua ITV

Wacheni kumkufuru Mungu kwa kumwita Lowassa mgonjwa kama nyiye ndiyo mliomuumba.

Jiulize swali moja tu la msingi ni kwa nini wagombea wengi wanaoonekana kuwa wako fit sana ndiyo wanapukutika na kumwacha Lowassa ambaye anadaiwa kuwa mgonjwa?

Hiyo inatuonyesha namna Mungu anavyotuonyesha utukufu wake mkuu.

Kuwa mgonjwa sio mpaka ufe na kufa sio mpaka uwe mgonjwa na sio dhambi mtu kumwambia ni mgonjwa
 
Hali ni tete ndani ya kituo cha ITV kufuatia kuvuja kwa video zinazomuonyesha mgombea wa Chadema Edward Lowassa akiwa kwenye hali ya udhoofu.

Mtoa taarifa ambaye ni mtangazaji wa ITV anasema, mmiliki wa kituo hicho Reginald Mengi baada ya kulalamikiwa na Lowassa juu ya video hizo ambazo zimesambaa kwenye mitandao ya kijamii, alitaka wote waliohusika kwenye utayarishaji wake wawajibike.

Anasema uandaaji wa matangazo hayo ya Lowassa ambayo yameanza kurushwa na ITV, yalichukua muda mrefu kuyaandaa ambapo Lowassa kutokana na hali yake ilimlazimu kurudia kila mara na wakati mwingine alionekana kushindwa kuongea na kukohoa sana.

Video hizo ambazo alishindwa kuongea ndo zimesambazwa na kumkera Lowassa na kukosa imani na ITV kituo ambacho inaelezwa alianza kukilalamikia kwa kupunguza habari za mikutano yake.

Mtoa taarifa anasema tayari baadhi ya watendaji wamesimamishwa kazi kwa kitendo cha kusambaza video zinazomdhalilisha Lowassa na kuonyesha udhaifu wake ambao Chadema wanajitahidi kuuficha.

.
Mtoa ripoti hii ndio mmoja wa wale wataalamu wa makamba hapo Masaki au buku 7+ Lumumba? Mbona hujamtaja huyo aliyeingia matatani Itv kama sio uzushi tu huu.
katika nchi zilizo makini na kufuata utawala wa sheria January Makamba alipaswa kuwa kwa sasa ameshikiliwa kuhojiwa kuhusu Helikopta chakavu alizokodisha. ona sasa imeshagharimu nafsi ya thamani sana kuzidi wengi magambani ya Deo.
 
Uzima na mauti vyote viko mikononi mwake mola. KURA yangu ni kwa LOWASSA.

Nakuomba WEWE unayesoma thread hii pamoja na FAMILIA yako na RAFIKI zako tumpigie LOWASSA kura hamtojuta kamwe kumchagua LOWASSA.

Huo uwehu wako fanya mwenyewe na familia yako na Wachagga wenzio. Kamwe Lowassa haingii Ikulu.
 
ha ha ha ha Lowasa Mdhoofu, sawa, mtikila alikuwa mdhoofu? Kombani je? Filikunjombe je? Nachowaomba vijana wenzangu acheni kuzungumzia afya za watu kwa ujira wa kikombe cha kahawa. Kuna moja ya marehemu tajwa hapo juu walimtuhumu Lowasa na udhoofu wake, matokeo yake kaondoka yy. hu hu hu hu Mungu sio Mzee manjilinji, atakuchukua na ww uliyetoa hii post.
 
Jamii forum panaongoza kwa unafiki kupita hata Facebook siku hizi siku video ya Dr.Slaa ilipovuja kuonyesha wanakina mwakyembe wakiongea na Slaa na watu wakafukuzwa kazi kila mtu alilamika hapa na kudai wameonewa leo ni zamu ya Lowassa video za kweli zimevuja tunadai wache wafukuzwe kazi lets be realistic video zote mbili ni za ukweli but hazikutakiwa kwenda public moja kwa sababu za usalama ya pili babu ni mgonjwa kutoa video vile ni kama kumdhalilisha ingawa ndani yake inaukweli.
 
Allways njia ya muongo haiwi ndefu !
Umedai video (clip) zimesambaa kwenye social netwk , tuwekee basi hiyo clip basi ! Btw kuna kila dalili hapa hiko ukisemacho hakipo!
 
Watu wanaotupiwa vijembe vingi ndio ninaowapenda, tar 25 Oktoba kura yangu kwa Lowassa na UKAWA, namwomba Mungu anipe uzima.
 
Attachments

  • image.jpeg
    image.jpeg
    10 KB · Views: 979
Hali ni tete ndani ya kituo cha ITV kufuatia kuvuja kwa video zinazomuonyesha mgombea wa Chadema Edward Lowassa akiwa kwenye hali ya udhoofu.

Mtoa taarifa ambaye ni mtangazaji wa ITV anasema, mmiliki wa kituo hicho Reginald Mengi baada ya kulalamikiwa na Lowassa juu ya video hizo ambazo zimesambaa kwenye mitandao ya kijamii, alitaka wote waliohusika kwenye utayarishaji wake wawajibike.

Anasema uandaaji wa matangazo hayo ya Lowassa ambayo yameanza kurushwa na ITV, yalichukua muda mrefu kuyaandaa ambapo Lowassa kutokana na hali yake ilimlazimu kurudia kila mara na wakati mwingine alionekana kushindwa kuongea na kukohoa sana.

Video hizo ambazo alishindwa kuongea ndo zimesambazwa na kumkera Lowassa na kukosa imani na ITV kituo ambacho inaelezwa alianza kukilalamikia kwa kupunguza habari za mikutano yake.

Mtoa taarifa anasema tayari baadhi ya watendaji wamesimamishwa kazi kwa kitendo cha kusambaza video zinazomdhalilisha Lowassa na kuonyesha udhaifu wake ambao Chadema wanajitahidi kuuficha.

Wewe kama siyo timu lumumba basi ni timu dr mihogo hizo clips mbona hukuziweka hapa wakati unasema zimetengenezwa? Akili za ngiri ni taabu sana kumuongoza mwanadamu
 
Yeye anagombea urais ndio sababu, cheo cha mwisho kabisa, kwa ugonjwa wake anaweza hata kuamuru makombora yavurumishwe ...

Tumekubali kumchagua hivyo hivyo hata kama anakohoa yeye ndiye rais wa tanzania
 
Ccm mmejaha uongo na unafiki kila sehemu kama yule kiongozi wenu mwezi Wa kwanza uongo hadi kwenye maisha ya watu chopa zetu zote mzima wakati kuna watu wamepoteza watu muhimu katika maisha yao

Na watazidi kupukutika maana ni rungu la mungu
 
Mm kura yangu ni kwalowaxa 2 hata kama wanaxema ni mgonjwa nibora 2kampa lowaxa kuliko kuwapa hao wanaojiita wazima ambao wanazid ku2umiza

Lowasa lowasa lowasa lowasa lowasa lowasa lowasa lowasa lowasa lowasa lowasa lowasa lowasa lowasa lowasa
 
Back
Top Bottom