Lowassa asababisha timua timua ITV

Lowassa asababisha timua timua ITV

Hivi kuna mgonjwa anayeweza himili kuzunguka nchi nzima mpaka sasa? Mbona hao wazima tunawafungia maturubai kila siku Karimjee Hall.....

Wajua mkuu,KILA mtu aliye mwonea na kumsema LOWASA kwa ubaya hasa kumnyanyapaa kuwa ni mgonjwa,eti kaji.....hawa watu kauli walilotamka kwa ubaya Liwarudie Mara mbili zaidi,wao liwapate madhara hayohayo kumtakia mtu adiyewasema,asiyewachukia,mtu aliyekua kimya huku anakejeliwa. Nyinyi wauvu hasira ya Mwenyezi Mungu Mkuu aliye hai inawajia kuanzia sasa.hamtabaki salama mpaka mtakapomwona LOWASA na kumwomba msamaha NAYE akatamkaa kuwasamehe.
 
Hivi kuna mgonjwa anayeweza himili kuzunguka nchi nzima mpaka sasa? Mbona hao wazima tunawafungia maturubai kila siku Karimjee Hall.....

Hawakujinyea lakini. Raisi gani wa pempasi khaa!!
 
Mpango mzima ni UKAWA mwanzo mwisho,hutaki nenda kale malimao!.
VIVA UKAWA.
 
Hivi kuna mgonjwa anayeweza himili kuzunguka nchi nzima mpaka sasa? Mbona hao wazima tunawafungia maturubai kila siku Karimjee Hall.....

Ukisema nchi nzima unajumuisha Tanga na Tunduma pia?
Halafu M4C angekuwa anaongea sekunde 20 kama huyo mgonjwa wenu saa hizi angekuwa anarudia mikutano kwa mara ya kumi hivi.
 
Achaa utahira, mbowe alikuwa anaongea na microphones zilikuwa hazitoi sauti. Sauti ilikuwa kavu kavu ya mbowe.

Na maiki alizishika kwa ajili gani sasa? Au alikuwa hajui kuwa zilikuwa ni mbovu hahahaaah!!!
 
Na maiki alizishika kwa ajili gani sasa? Au alikuwa hajui kuwa zilikuwa ni mbovu hahahaaah!!!

Alikuwa anawatangazia kuwa microphone ni mbovu kwa kutumia microphone. Wasanii utawajua Tangamano walisema watu wengi walipoteza fahamu, lakini juzi furahisha walonekana wakiwaondoa waliozidiwa. Ukiwa mwongo uwe na kumbukumbu
 
Kukata mzizi wa habari tupieni hizo clips humu

Hizo clip zipo na mimi nimeziona...Kimsingi mim kama binadamu wa kawaida siwez ongelea afya ya mtu coz at any time t..mungu ndo anajua mwisho wetu....!Nimemuuguza mgonjwa wa +h..for 2o yrs na walumuita mgonjwa wanakufa yeye anadunda na ndani ya udhoofu wake kajenga na mambo yanaenda..plz tuseme yoote by mambo ya afya ya mtu tuyaache.
 
hali ni tete ndani ya kituo cha itv kufuatia kuvuja kwa video zinazomuonyesha mgombea wa chadema edward lowassa akiwa kwenye hali ya udhoofu.

Mtoa taarifa ambaye ni mtangazaji wa itv anasema, mmiliki wa kituo hicho reginald mengi baada ya kulalamikiwa na lowassa juu ya video hizo ambazo zimesambaa kwenye mitandao ya kijamii, alitaka wote waliohusika kwenye utayarishaji wake wawajibike.

Anasema uandaaji wa matangazo hayo ya lowassa ambayo yameanza kurushwa na itv, yalichukua muda mrefu kuyaandaa ambapo lowassa kutokana na hali yake ilimlazimu kurudia kila mara na wakati mwingine alionekana kushindwa kuongea na kukohoa sana.

Video hizo ambazo alishindwa kuongea ndo zimesambazwa na kumkera lowassa na kukosa imani na itv kituo ambacho inaelezwa alianza kukilalamikia kwa kupunguza habari za mikutano yake.

Mtoa taarifa anasema tayari baadhi ya watendaji wamesimamishwa kazi kwa kitendo cha kusambaza video zinazomdhalilisha lowassa na kuonyesha udhaifu wake ambao chadema wanajitahidi kuuficha.
acheni uongo wagonjwa kila sikutaki wanafariki apolo lakini bado mnabambikiza watu kuwa waginjwa
mtoa maada utake radhi vinginevyo yakikupata ya vengu usimlilie mungu
 
Hali ni tete ndani ya kituo cha ITV kufuatia kuvuja kwa video zinazomuonyesha mgombea wa Chadema Edward Lowassa akiwa kwenye hali ya udhoofu.

Mtoa taarifa ambaye ni mtangazaji wa ITV anasema, mmiliki wa kituo hicho Reginald Mengi baada ya kulalamikiwa na Lowassa juu ya video hizo ambazo zimesambaa kwenye mitandao ya kijamii, alitaka wote waliohusika kwenye utayarishaji wake wawajibike.

Anasema uandaaji wa matangazo hayo ya Lowassa ambayo yameanza kurushwa na ITV, yalichukua muda mrefu kuyaandaa ambapo Lowassa kutokana na hali yake ilimlazimu kurudia kila mara na wakati mwingine alionekana kushindwa kuongea na kukohoa sana.

Video hizo ambazo alishindwa kuongea ndo zimesambazwa na kumkera Lowassa na kukosa imani na ITV kituo ambacho inaelezwa alianza kukilalamikia kwa kupunguza habari za mikutano yake.

Mtoa taarifa anasema tayari baadhi ya watendaji wamesimamishwa kazi kwa kitendo cha kusambaza video zinazomdhalilisha Lowassa na kuonyesha udhaifu wake ambao Chadema wanajitahidi kuuficha.

Nonsense!
 
Hata wangeweka jiweee nitalipigia kura hilo jiwe . Kuliko kupigia ccm....
 
Hiv Lowasa anayetajwa c huy ambaye kla sik tunaangalia na kuhudhuria baadh y mikutan yak? Au mleta mada ana lowasa wake?
 
Wacheni kumkufuru Mungu kwa kumwita Lowassa mgonjwa kama nyiye ndiyo mliomuumba.

Jiulize swali moja tu la msingi ni kwa nini wagombea wengi wanaoonekana kuwa wako fit sana ndiyo wanapukutika na kumwacha Lowassa ambaye anadaiwa kuwa mgonjwa?

Hiyo inatuonyesha namna Mungu anavyotuonyesha utukufu wake mkuu.

Umefikiria kabla hujabwabwaja? kwani akiwa mgonjwa akaitwa mgonjwa kufuru iko wapi hapo?
suala la ugonjwa na kifo vinahusiana nini?
ukiambiwa mgonjwa kwako wewe inamaanisha utakufa karibuni? mnaharibu sana JF nyie watu kwa mapenzi yenu yaliyopitiliza mipaka.
 
Back
Top Bottom