zambez
JF-Expert Member
- Dec 28, 2013
- 2,071
- 255
Mtoa mada una blidi..kavae pedi
Wewe hujajiangalia tena kwa nyuma..idiot
Mtoa mada una blidi..kavae pedi
Kumekuwepo na sintofahamu kwangu mimi na pengine kwa wananchi wengine juu ya habari hizi za Edward Lowasa kutokuhudhuria maziko ya marehemu baba wa taifa mpendwa wetu Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Binafsi siamini kama ni kweli Lowasa hakuhudhuria maziko hayo yalifanyika oktoba 1999 huko Butiama. Chonde chonde naomba kuthibitishiwa, mimi pamoja na wengine ambao hatuamini kama ni kweli Lowasa hakuhudhuria maziko hayo.
KAMA HAKUHUDHURIA LIPO LA KUSEMA NA KULIJADILI KWA KINA.
akili za bavicha sawa na kiroba cha mavi
Akili zako zimejaa uharo na funza wa chooni. Mtu kaleta hoja badala ya kujadili unaleta upuuzi juha ww.
kwani butiama ni mbinguni?
Lowasa bwana . Why all this ? Kutaka kuungwa mkono ?
a reject by mwalimu will always be a reject by the mass at large
akili za bavicha sawa na kiroba cha mavi
Watake wasitake huyo ndo rais wao kuanzi october 2015
Huyu dingi ana viashiria vyote vya kuja kuwa nkurunziza Pindi atakapohongwa huo uraisi na poor tanzanians.