sio mbiguni lakini wenye mji (wenyeji) wanaonekana hawataki maigizo ya kisiasa yafanyike katika mji wao tena kwa kutumia msiba wa kumuaga mpendwa wao. Huyu Mhe Fisadi EL anazidi kujishushia heshima kwa kufanya maigizo ambayo hata wale watoto wa sekondari za kata wanayatambua wazi kuwa ni maigizo.
hongera kwa kuingiza siku kachukue chako popote pale lakini huyo ndie raisi wa watanzania hatumtaki mbowe a.k.a Nkurunzinza wa tz atakuja kubadili vifungu vya uchaguzi hapa nchini kwetu kama alivyofanya ndani ya chama ametuonyesha tabia yake mapema.........!