Lowassa apigwa Stop kwa Mwl. Nyerere Butiama

Lowassa apigwa Stop kwa Mwl. Nyerere Butiama


Huyu mtu sijui atapatwa na kitu gani matamanio yake haya ya kutawala yatakapoangukia pua...kweli usakaji wa utawala umemfanya yeye na wapambe wake wakose haya kabisa...

Kwanini anasaka fursa ya kujisafisha kupitia jina la Mwalimu Nyerere. Kitu gani kinamsumbua huyu mtaka kutawala?

Ajifunze kutoka kwa viongozi wa watu namna hii kama inavyoonesha picha. Msiba ni msiba. Si mahali pa kutafuta kujisafisha.


attachment.php


Dkt. Slaa akimpatia pole mjane wa Baba wa Taifa Mama Maria Nyerere, baada ya kutoa heshima za mwisho kwa mwili wa marehemu John Nyerere.



Hata Lowassa alitoa pia na kuweka udongo na kumpa mama maria pole....unataka picha???.
 

Attachments

  • IMG-20150513-WA0003.jpg
    IMG-20150513-WA0003.jpg
    56.9 KB · Views: 489
Hzo n chuk za kishamba tu,semen msiseme,tungengen story zenu zozote zle lowasa mwenywe kimya Kama kawaida yake haongei,ila mtashangaa pale atakaooapishwa rais wa awamu ya tano ndo hapo mtakapo funga midomo yenu
 
Yan mazee tuachen unafk tu,hata kisura tu nan kat ya lowassa na slaa mwenye sura ya kuitwa rais???
 
Lowasa kashindwa kupanda ngazi za clouds,sasa ataweza kufanya kazi za uraisi?
 
Huyu dingi ana viashiria vyote vya kuja kuwa nkurunziza Pindi atakapohongwa huo uraisi na poor tanzanians.
Mi nilikuwa Dar es Salaam na nilifuatilia kuanzia kufika mwili wa Baba wa Taifa toka Uingereza, hadi ulipowekwa uwanja wa Taifa na hatimaye kuagwa katika kanisa kuu la Mt. Joseph hapo Dar....kwa kumbukumbu yangu sikuwahi kumwona EL katika tukio lolote la matukio hayo ya pale Dar...labda kama alienda huko Butyama.
 
Yaani nashangaa hapo mtaingiza siasa hata pasipohitajika Kwan hapo Kwenye msiba kunahitaji mtu apate wadhamini au mnajadili tu kwa vile mnajua kujadili?
 
Back
Top Bottom