Benjamin Netanyahu
JF-Expert Member
- Dec 1, 2014
- 362
- 60
Hakika lowasa anatumia sanaa ya uigizaji aliyosoma udsm ipasavyo ana degree ya mazingaombwe
hongera kwa kuingiza siku kachukue chako popote pale lakini huyo ndie raisi wa watanzania hatumtaki mbowe a.k.a Nkurunzinza wa tz atakuja kubadili vifungu vya uchaguzi hapa nchini kwetu kama alivyofanya ndani ya chama ametuonyesha tabia yake mapema.........!
Maranya kaa kimya EL atakutoa roho bure wakati hakujui. EL ni kitu kingine na nadhani yuko sayari nyingine kabisa
Kumekuwepo na sintofahamu kwangu mimi na pengine kwa wananchi wengine juu ya habari hizi za Edward Lowasa kutokuhudhuria maziko ya marehemu baba wa taifa mpendwa wetu Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Binafsi siamini kama ni kweli Lowasa hakuhudhuria maziko hayo yalifanyika oktoba 1999 huko Butiama. Chonde chonde naomba kuthibitishiwa, mimi pamoja na wengine ambao hatuamini kama ni kweli Lowasa hakuhudhuria maziko hayo.
KAMA HAKUHUDHURIA LIPO LA KUSEMA NA KULIJADILI KWA KINA.
akili za bavicha sawa na kiroba cha mavi
Watake wasitake huyo ndo rais wao kuanzi october 2015
Akina nani Wataje, kwani kuvaa T-shirt ndo kampeni hiyooo???Leo misukule ya Lowasa imepanik..