Lowassa apigwa Stop kwa Mwl. Nyerere Butiama

Lowassa apigwa Stop kwa Mwl. Nyerere Butiama

Mwita Maranya

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2008
Posts
10,565
Reaction score
7,993
Salam Wana JF.

Taarifa za Uhakika zilizonifikia hivi punde ni kwamba msaka uraisi Mbunge wa Monduli Edward Lowasa amepigwa 'stop' asifanye maigizo ya kisiasa katika msiba wa Mtoto wa Mwalimu Nyerere, John J.K Nyerere ambaye anazikwa leo Kijijini Mwitongo, Butiama.

Lowasa kupitia kwa wapambe wake walikuwa wamegawa T Shirts zilizoandikwa friends of Lowasa na bahasha kwa baadhi ya Vijana ili wavae na kumshangilia wakati atakapokuwa anazungumza kutoa salam za rambi rambi, na imeelezwa kuwa Lowasa alikuwa amejipanga kutumia fursa hiyo kutaja kiwango cha rambirambi ambacho atatoa na mlinzi wake alikuwa ameshika bahasha iliyokuwa inadaiwa kuwa na fedha hizo.

Baada ya Wananchi kubaini mchezo huo wa sanaa za kuigiza unaotaka kufanywa na Lowasa wakaanza kuwashambulia kwa maneno makali wapambe hao hata kufikia hatua ya kutaka kuwapiga hali iliyowalazimu kuvua matisheti hayo kwa aibu.

Katika kutia chumvi kidonda Lowasa amenyimwa fursa ya kuzungumza na wananchi waliokuwepo msibani wamemueleza wazi wazi kuwa hawataki siasa za kusaka madaraka msibani, na hasa katika familia ya Baba wa Taifa.

Kwasasa ni hayo tu kutoka kijijini Mwitongo, Butiama!

Ni mimi Mwita Maranya wa JF!
 
Alitakiwa atimuliwe kabisa msibani. Amezowea kuigiza igiza, unafiki wa kuwafanya Watanzania hawajui kuwa wamepoteza ndugu zao wengi na hadi sasa hawajui maisha yao na ya watoto wao yanaelekea wapi sababu ya Lowasa!.

Hatakiwi hata kupewa mkono yule ni muuaji!.
 
Acha kufikilia kimasabuli unalipwa na nani kufanya siasa uchulooo kutujaziaa thread humu kqa upumbavu wa kufikiliaa kimasaburi
 
Alitakiwa atimuliwe kabisa msibani. Amezowea kuigiza igiza, unafiki wa kuwafanya Watanzania hawajui kuwa wamepoteza ndugu zao wengi na hadi sasa hawajui maisha yao na ya watoto wao yanaelekea wapi sababu ya Lowasa!.

Hatakiwi hata kupewa mkono yule ni muuaji!.

Hilo jamaa ni jambazi sugu
 
Back
Top Bottom