Lowassa apigwa mawe Tarime

Kama hali ni hiyo kwa nini hao vijana wa tarime wasiripoti takukuru???? kulalamika na majungu hakutawasaidia
Sheria ni sheria wameambiwa pokea tafuna kisha songa.
 
Kama hoja hazipewi nafasi,nguvu ndiyo kete ya mwisho.Kwa watanzania hapo ndipo walipofikishwa,there is no other alternative.Huwezi kwa mfano kuwang'oa CCM through the ballot box kwa kuwa wanatumia kila mbinu chafu kuiba kura.What do you do?Sit down and cry?!
 
Hiyo ndiyo style ya mafuriko hayazuiliki kwa mikono
 
Polisi wamuongezee ulinzi ...Tarime hawataki mchezo
 

habari ya mwezi wa sita hiyoo.huna jipya.
 
Leo anapokelewa Tarime kama mfalme,na vijana tumejipanga ole wake atakae zomea hakika atakiona cha mtema kuni.
 
Sasa hivi kuna watu Magamba wanatengeneza Magazeti Bandia

Walianza kuwachafua Ukawa kwa kutengeneza

Mwananchi bandia
Mtazania bandia
Majiran bandia
Tanzania Daima Bandia

Ccm Mwaka huu hamtoki !!

Hiyo ni Tanzania daima halisi
 
Sasa hivi kuna watu Magamba wanatengeneza Magazeti Bandia

Walianza kuwachafua Ukawa kwa kutengeneza

Mwananchi bandia
Mtazania bandia
Majiran bandia
Tanzania Daima Bandia

Ccm Mwaka huu hamtoki !!

Wanadhihirisha kuwa wamechoka kwa kiwango kikubwa mkuu, waache waendelee, punzi unakaribia kukata.
 
hao ndo wana Akili na kuna uwezekano rais akatokea huko mara.jambazi mkubwa ngoja zama zake zina isha july.popote apitapo tunamjua ni fisadi tu.ngoja tumlie pesa zake mana ni kodi xetu alixotuibia.shame on him.

Sijui kwa nn una hakili mgando sana...escow ya Jana tu ! Umeisukumiza kwenye 0713
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…