cdm n u waongo aise mtu kapigwa kaokolea napolice hata picha huna
eti koneshwa vidole picha hana eti karushia mawe mawili picha hakuna mtoa nyuzi kaa chizi kweli
Jambazi sugu na fisadi papa lowasa kamwe hawezi kuwa rais wa tz. Ni mwizi ana fitina hana hoja hawezi kujieleza. Hana ubobezi wa aina yoyote.
Nguvu yake kubwa ni kinunua watz kwa nguvu ya pesa.
Uwezo wake ni Kuongeza ng'ombe sio watu!
Jamani tuseme ukweli kama lowasa ni fisadi, Mbowe sio fisadi ndani ya chama chake, kama lowasa ni fisadi Slaa sio fisadi ndani ya chama chake, na wewe uliepost hiii mada sio fisadi wooote ni mafisadi au hakuna mtu ambae sio fisadi ndani ya Tanzania
usilolijua kaka kaa kimya!!kuna mengine hayapaswi kujulikana manake ukisikia uipokaa unaweza kujitia kitanzi...ulivyo na moyo mdogo usijue kabisa...kaaa kimya