Lowassa apigwa mawe Tarime

Polisi wamuongezee ulinzi ...Tarime hawataki mchezo

Umeishiwa sera, una dalili za kufilisika mwelekeo: unafufua habari ya mwezi Juni 2015, lile dua lililosomwa na sheikh pale jangwani likufike!
 
Kwa kutubu kwake amepona na kupakwa mafuta ili awe mfalme Wa nchi yetu.Vasco da Gama,John Kasuku,Benny Mikwapa,Ndugu Kinena na wengine wote wana nafasi ya kutubu na kuzaliwa upya.
 

hii post ya mwaka jana, hata hivyo alipata mapokezi mazuri tu.
 
Mbona Hbr Na Evidence Zinasigana!!! Mahakama Imekata Ushaidi Wenu!! Maana Kesi MPYA Na USHAIDI Wa Zamani, Kabla Ya TUKIO!!
 
Please give me a breack. This is an irrelevant thread as for now.
 
 
Yaan ukiskia kenge huyu jamaa nizaid ya kenge maana Rowasa anasubiliwa na maelfu ya watu Tarime ambapo atatokea Nyamongo ambako nako bado anasubiliwa na maelfu ya wapenda mabadiliko sasa sjui kinachomtekenya nin hd aanze kudanganya wanajanv.
 

Habari ya mwezi wa sita dah ushogo ngumu kuacha
 
Habari za mwezi Wa sita mneleta Leo, ndo maana mnashindwa kujua nyakati zinaendaje
 
Ha ha ha ha asante kwa gazeti hapa kumwaga pombe tu 25th October 2015
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…