sIKU AKIREJEA SERIKALINI ETI KAMA RAI MJUE KABISA HAKUNA TZ YENYE AMANI TENA KUTAKUWA KAMA ELDORET KULE KENYA.hAO WAANDISHI WALOHONGWA NDIO TUMEANZA KUWAONA NA SIE HATUWEZI KUKUBALI KUWA RAIS YEYE LOWASA NI MPAKA WATZ TUAMUE WENYEWE.Jamanieee ccm si wamnyang'anye uanachama aache kukisumbua chama na hao akina RA PIA.Ataishia kusema kaonewa kwann hakwenda kuwaeleza kamati ukweli alioujua yeye kama waziri mkuu?Sitaki kusikia kabisa etii kamati haikunihoji.
. So Lowassa, please go ahead and you can already be cunting one vote from me!
Am sure you ment what you wrote
. So Lowassa, please go ahead and you can already be cunting one vote from me!
Am sure you ment what you wrote
I think he/she meant counting! Typos can sometimes turn out to be seriously insulting😉!
Gustanza_The: naomba unitumie hata kwenye PM, ile link ya Kasori, maana nina hamu ya kusoma makala zake. Asante sana kwa kutuhabarisha kuhusu this piece of history. Huyu jamaa hatafika mbali!
Waberoya: what you said is true, tusimlaumu individual, it is the collective guilt because we feed and keep a corrupt system alive. lakini hata kama hatujampigia kura Kikwete, mimi na wewe bado tuko guilty kwa sababu tunaangalia tu wakati nchi inazidi kuangamia.
Nchi inahitaji RAIS ambaye ni semi dikteta.
EL ni semi Dicteta. EL ameshakusanya mali. Inachobakia ni kuongoza nchi. Mimi nitampigia kampeni za nguvu 2015
MMMM msituni yale mabomu mawili ya mbagala yalipolipuka ulizimia jee kasheshe kama ya iraq,gaza au lebanon utaiweza?Achukue tu... he is the only one available who will make TAnzanians (wazee wa amani) kuingia msituni in 6 months za utawala, labda baada ya hapo tutaheshimu haki na usawa
Nani anamdanganya huyo Mamvi kuwa anaweza kuwa Rais wa nchi hii? Kwa sifa gani hasa? Huyu jamaa kwanza kichwani hakuna kitu, halafu ni mwizi mkubwa. Angetafuta shughuli nyingine ya kufanya badala ya kuendelea kuota ndoto za urais. Watanzania sio wajinga hivyo kama anavyodhani. Wameamka na tayari wanajua kutofautisha pumba na mchele. Tunafahamu jinsi yeye na swahiba wake RA walivyokusanya fedha kwa ajili hiyo. Lakini nafasi ya kunua tena urais haitakuwepo tena asilani!
Duh! Mkuu Jmushi1 una macho aisee!
Hata mimi namuunga mkono agombee, tofauti ya fisadi na asiyekuwa fisadi mimi siioni.
ikitokea akagombea uraisi me nitampa kura yangu.