Lowassa anasafishwa!

Lowassa anasafishwa!

Mheshimiwa Zitto,

Wewe ndugu yangu ukiwa kati ya watanzia unayetambua vizuri influence ya kina lowassa, rostam, chenge na wengine...unataka kutuconvice kwamba Jopo la majaji litakuwa huru? I dont believe and i dont want to believe kwamba haki itapatika through jopo la majaji

Pasco...Off all the people Lowassa ndio wakuongea mambo ya Natural Justice? yeye alikuwa anawafanyia watu anaowafukuza natural justice? kama unakumbukumbu nzuri Lowassa alimfukuza Mkurugenzi wa Same kwa chuki binafsi kisa alikuwa ana msupport Sumaye, alimfukuza kwenye kikao
 
Kumekuwa na juhudi kubwa sana zinazofanywa na jamii yetu ya sasa ili kuhalalisha maovu yafanywayo na baadhi ya watu waliopewa dhamana kubwa ya kuongoza jamii sehemu mbalimbali. Jambo la ajabu ni kuwa, baadhi ya watu hao walifanya ubadhirifu wa hali ya juu na wengi wetu ni mashahidi wa hilo.

Kinachoshangaza ni kwanini sasa jamii hyo hyo iliyodhurumiwa inatumia njia mbalimbali ili kuonyesha umma kuwa watu wale waliopewa dhamana hawakufanya ubadhifu/wizi/ufisadi na sasa wanafaa kupewa tena dhamana. Mfano mmoja ni juhudi kubwa zinazofanywa sasa na baadhi ya watz na baadhi ya wana JF, ili kumsafisha Mheshimiwa EL ili aweze kurudi tena kwenye system na baadaye 2015, u-prezda.

Mimi nauliza. Je, Hivi shetani akizeeka anakuwa Malaika?
 
eee bwana nchi hii itakua safi siku zulia litakapo funuliwa kwa kweli ccm inaficha maovu sana vijana jitokezeni kupiga kura tuiondoe ccm halafu ndio mtajua nchi hii imefanywa nn?ww kaa chini ufikirie kwa nn ccm haitaki kutoka madarakani?
 
Haya mambo ndo tunazidi kuyaona mtu kaishakufa na dhambi lukuki sasa anataka kufufuka
 
lowassa.jpg

Salaam Jamii Forums.

Mimi si mwanasiasa, lakini naamini katika maisha ya kiraia katika nchi yoyote, kuna siasa.

Naomba kuuliza: hivi kosa la Mzee Ngoyai ni lipi?

kipande kimoja katika hotuba yake wakati anaingia Chadema kilisema 'chuki iliyokithiri juu yangu'.

kipande hiki kiliniuma sana. Mzee Ngoyai ni mwanadamu. Binadamu hatufundishwi kuchukiana. kwa nini kuna watu wamejipa uhalali wa kumchukia Mzee Ngoyai kwa kiwango kikubwa namna hii?

mbona anaonekana mtu mwema tu. ubaya wake ni nini? hebu mnaomchukia naomba mtuambie.
 
Amenza kuwa MTU mwema baada ya kuja CDM? Sio nyie mlokuwa mnamwita fisadi, mwizi na majina mengine ya ajabu ajabu? Leo kawa msafi tena? Don't be hypocrite... Acheni unafiki..
 
Kupendwa au kuchukiwa tutajua baada ya uchaguzi.
 
Mtu kuongea hawezi jamani watanzania tunakwenda wapi? Hivi mmechanganyikiwa au mbona siwaelewi mmekaa kama nyumbu wa Serengeti mnajiendea tu.
 
Mtu kuongea hawezi jamani watanzania tunakwenda wapi? Hivi mmechanganyikiwa au mbona siwaelewi mmekaa kama nyumbu wa Serengeti mnajiendea tu.

Si kila mtu ni msemaji/muongeaji wengine ni watekelezaji tu hawakurupuki na maneno vitendo ndiyo vinaongea
 
Amenza kuwa MTU mwema baada ya kuja CDM? Sio nyie mlokuwa mnamwita fisadi, mwizi na majina mengine ya ajabu ajabu? Leo kawa msafi tena? Don't be hypocrite... Acheni unafiki..

Alikuwa akiwanyina usingizi coz walikuwa wanajua yy ndiye kikwazo kikubwa cha kuwanyima ikulu ndo mana walikuwa wakimnafkia ili wapate chance coz siasa ni unafki ili wewe ufanikiwe inakulazimu umnafkie mwenzako iwe uongo au ukwel....Ila kwa kuwa yuko kwao wataongea ukweli wataacha unafki
 
Si kila mtu ni msemaji/muongeaji wengine ni watekelezaji tu hawakurupuki na maneno vitendo ndiyo vinaongea

nikusaidi pengine bado haujafikia hatua hii

unaongea unachokijua
unatenda kile unachokijua
hauwezikutenda kitu usichokijua na hauwezi ongea kitu usichokijua,
so kuongea ni ishara ya kujua utatenda nini kama hauwezi kuongea maana yake wewe ni bubu ,maana yake wewe haujua utasema nini na utatenda nini,
wanapsychology wasaidieni watu waelewe haya mambo,

View attachment 273070

Salaam Jamii Forums.

Mimi si mwanasiasa, lakini naamini katika maisha ya kiraia katika nchi yoyote, kuna siasa.

Naomba kuuliza: hivi kosa la Mzee Ngoyai ni lipi?

kipande kimoja katika hotuba yake wakati anaingia Chadema kilisema 'chuki iliyokithiri juu yangu'.

kipande hiki kiliniuma sana. Mzee Ngoyai ni mwanadamu. Binadamu hatufundishwi kuchukiana. kwa nini kuna watu wamejipa uhalali wa kumchukia Mzee Ngoyai kwa kiwango kikubwa namna hii?

mbona anaonekana mtu mwema tu. ubaya wake ni nini? hebu mnaomchukia naomba mtuambie.[/QUOTE

Chuki binafsi tu kwa mzee Ngoyai.............huyu ndo rais ajae
 
Alikuwa akiwanyina usingizi coz walikuwa wanajua yy ndiye kikwazo kikubwa cha kuwanyima ikulu ndo mana walikuwa wakimnafkia ili wapate chance coz siasa ni unafki ili wewe ufanikiwe inakulazimu umnafkie mwenzako iwe uongo au ukwel....Ila kwa kuwa yuko kwao wataongea ukweli wataacha unafki

mkuu sio mashindano ya kutafuta wanafiki haya, na kama tunatafuta rais wa kupatiuka kwa njia za unafiki bora tufanya maombi maana atafanya kazi kwa unafiki,
katuwa na sifa huo ndo ukweli tangu 1995 angekuwa na sifa angekuwa tayari ameishakuwa rais ,rais ni changuo la mungu na si vinginevyo,
 
View attachment 273070

Salaam Jamii Forums.

Mimi si mwanasiasa, lakini naamini katika maisha ya kiraia katika nchi yoyote, kuna siasa.

Naomba kuuliza: hivi kosa la Mzee Ngoyai ni lipi?

kipande kimoja katika hotuba yake wakati anaingia Chadema kilisema 'chuki iliyokithiri juu yangu'.

kipande hiki kiliniuma sana. Mzee Ngoyai ni mwanadamu. Binadamu hatufundishwi kuchukiana. kwa nini kuna watu wamejipa uhalali wa kumchukia Mzee Ngoyai kwa kiwango kikubwa namna hii?

mbona anaonekana mtu mwema tu. ubaya wake ni nini? hebu mnaomchukia naomba mtuambie.[/QUOTE

Chuki binafsi tu kwa mzee Ngoyai.............huyu ndo rais ajae[/QUOTEtu

wewe sio mwanasiasa na kama ni mwanasiasa basi wewe ni wale wanafiki,haiingi akili watu wakuchukie wewe tangu 1995 adi 2015,
basi sis waumini wa dini tunasema wewe sio changuo la mungu haiwezekani,
unajua binadamu yeye akiwa na uwezo wa pesa anajiona yeye ndo yeye wengine hawana maana na ndo tunayoyaona huku tunapoishi ,na lowasa yuko hivyohivyo anajiona yeye ndo bara kuriko wengini,
mtu msafi na anayekubalika hata kwa mungu haitaji mapambo nuru ya bwana iko nae kila kona kila anaemuona anasema kweli huyu ni changuo la mungu,mimi ninaamini lowasa sio changuo la mungu kuwa rais hata afanyeje atumie pesa zake zote haitawezekana,
 
Back
Top Bottom