Tatizo sio opposition bali wapiga kura NDIVYO TULIVYO tukipewa fulana moja tu tunawapa ulaji wa miaka mitano mizima wakati fulana ukiifua mara mbili tu ndani ya mwezi inaruka hadi juu ya kitovu hapo unampa mwanao kwenda kuchungia ng'ombe huku tukiimba nambari wani ehhhhhhh!

Mkuu,
Mimi nadhani tatizo kubwa lililopo ni sisi wenyewe, HATUPIGI KURA. Kuna watu wengi sana hawapigi kura kutokana na sababu mbali mbali ikiwa ni kukatishwa tamaa na wizi wa kura, ubabaishaji wa tume ya uchaguzi na mengine mengi. So i think tukiamasishana tukapiga kura kwa wingi then tutaondoa hawa mafisadi.

Likitokea si balaa tu ni kiama kwa siasa za Tz kama tunavyozifahamuBalaaa hivi ataanzaje?mwaka gani sasa 2010 au 2015?
soma MWANAHALISI KAMA UNA MAPESA YA KUCHEZEA
You don' tell me!ikitokea akagombea uraisi me nitampa kura yangu.
ikitokea akagombea uraisi me nitampa kura yangu.
Nakubaliana na mawazo yako.Unajua wana JF tunaangalia upande mmoja wa shilingi,huyu Bw anatuhumia kwa mambo mengi sana ndani ya nchi hii,je mnajua aliyeko juu anatuhumiwa kwa mambo gani? au kwa kuwa yupo juu ndio watu wanaongopa kuongelea mazambi yake.Lowassa kama ananiya ya kugombea uraisi mwakani ni jambo zuri sana, kwa ni aliyeko juu atapata changamoto kubwa,jamani hii nchi kila mtu ni fisadi maana kizazi chote kimesha ambukiwa gonjwa hili.Mimi nadhani kama kweli atagombea itakuwa habari nzuri. Maana kama atahukumiwa kwa kigezo cha ufisadi hata JK mwenyewe anatuhumiwa kuingia ikulu kwa pesa za ufisadi. Kwangu naona itakuwa habari nzuri maana yake sasa tutaanza kuona upinzani mkubwa kwa rais aliyeko madarakani na hilo litakuwa zuri kwa ukuaji wa demokrasia. Na itakuwa somo kwa CCM kuwa mtu akichaguliwa kuwa rais siyo lazima aende vipindi viwili.
Kwangu mimi natoa shime kwa Lowassa kuchukua fomu na kupiga kampeni. Kama wananchi wanakutaka watakuchagua. Lakini ukichukua fomu katika nchi utakuwa umefanya kitendo cha kijasiri cha kuthubutu kumchallenge rais aliyeko madarakani ambaye mnatoka chama kimoja.