Lowassa anasafishwa!

Lowassa anasafishwa!

You don' tell me!

Invisible,

Hata mimi ninaweza kumpigia, kwa nini? kwa sababu sitaona tofauti yoyote, ikitoke scenario kwamba wanagombaia hawa wawili nitampigia! sababu ,kwanza wote ni sawa pili hulka yangu napenda mtu akliye muwazi kama ni mwizi ni mwizi na kama ni msafi ni msafi kwani wote hawa wana dawa.
Kitakachofanya nimpigie ni kwamba et least huyu hana miaka 5 kwenye kiti na kufanya nothing hivyo nitajipa moyo labda anaweza kuwa visited by angel!
 
Mimi nadhani lowassa would be the right candidate for presidency! Huyu wa sasa hakuna kitu na sijawahi kuona mchapakazi kama Lowassa katika CCM nzima. So Lowassa, please go ahead and you can already be cunting one vote from me! I know you were accused unjustiably by the "happy go luck" Mwakyembe and his goons! They had nothing against you except wivu tu kwa jinsi ulivyokuwa makini na mwepesi katika kutekeleza majukumu yake. CCM wanapenda watu wanaoendekeza majungu na si wachapa kazi kama yeye. Waliangalia kibanzi katika jicho lako na kusahau boriti katika macho yao. GO LOWASSA, GO.............You are my man!

Nakumbuka kipindikile alipokua Waziri wa maji na mifugo alikuwa anachapa kazi sio mchezo,EL naomba ikiwezekana ukachukue fumu mapema kabisa.
 
Too late, kishawashika pabaya! Uliza ni vyombo vingapi vya habari kishaweka mkono ndipo ujue kazi ipo, si ndogo...

Yeah, lakini bado MUNGU ni mwema pamoja na juhudi zake hizo MUNGU anaweza kumsambaratisha kama alivyowasambaratisha wale jamaa waliokuwa wanajenga mnara wa Babeli (Mwanzo 11:7-8). Twendelee kuomba juu ya hili, maana jamaa inaonekana kifua chake kimejaa ghadhabu nyingi na mara akiupata urais kuna watu ambao atamalizia hizo hasira zake kwao. Ni kama Simba mwenye njaa kali atafutaye mawindo. RA anavyoihujumu nchi kiuchumi chini ya Kikwete, rais akiwa EL ndo itakuwa mara kumi zaidi. May GOD forbid.
 
Invisible,

Hata mimi ninaweza kumpigia, kwa nini? kwa sababu sitaona tofauti yoyote, ikitoke scenario kwamba wanagombaia hawa wawili nitampigia! sababu ,kwanza wote ni sawa pili hulka yangu napenda mtu akliye muwazi kama ni mwizi ni mwizi na kama ni msafi ni msafi kwani wote hawa wana dawa.
Kitakachofanya nimpigie ni kwamba et least huyu hana miaka 5 kwenye kiti na kufanya nothing hivyo nitajipa moyo labda anaweza kuwa visited by angel!

Ahsante kwa majibu yako mazuri,ni heri ukawa na mtu mwizi ambae anaweza kukuletea maendeleo kuliko mwizi asiyeweza kufanya chochote ndani ya familia yake.
 
Amekuwa akitamba kwenye private kuwa atakuwa rais tu hata iweje 2010, which raises more questions kuliko majibu, including anajiamini nini hasa huyu baba?

Kwani mwenyezi Mungu kuna aliowaumba ili wawe viongozi tu na wasiwe waongozwa? Viongozi wenye busara za siasa hunyamaza kimyaa wanapotoka, na kufanya mambo yao kwa siri, huku wakiwaaachia wananchi kuamua ukweli na uongo, lakini baba huyu toka atoke amekuwa kwenye media hata kuliko alipokuwepo kwenye power, kulikoni? Kwani wa kuamua awe kiongozi au asiwe ni nani yeye au sisi wananchi?

Huyu amekatishwa nini hasa anaocholilia kila kukicha na maneno mengi mapya yuanayojaribu kuikwepa ripoti ya Mbunge Mwakyembe, ambayo ameshindwa kuijibu akiwa madarakani, sasa ataweza vipi kuijibu akiwa nje? It is about time mtu mzima amwambie wazi kuwa we do not miss him, na kwamba as a nation wa are just doing fine!

Let just say LOWASSA ni ATTENTION WHO*RE!!
 
I can understand kwa nini sirikali mimekwenda mahakamani kukumbushia suala la mgombea binafsi, kwamba wanataka mahakama itamke kuwa mahakamu kuu haina uwezo wa kubadili katiba...hii ni katika kuzuia the unlikely scenario kama EL akiamua kugombea kwa tiketi ya mgombea binafsi, si nasikia ana kundi kubwa sana la ma RC na ma DC nyuma yake?
 
Kwa 2010 hatagombea labda 2015, lkn bora EL maana tiyari anazo kuliko tukimleta lofa maana ataanza kuchuma kwanza ndio atutumikie, mwenye macho haambiwi tazama
 
Invisible,

Hata mimi ninaweza kumpigia, kwa nini? kwa sababu sitaona tofauti yoyote, ikitoke scenario kwamba wanagombaia hawa wawili nitampigia! sababu ,kwanza wote ni sawa pili hulka yangu napenda mtu akliye muwazi kama ni mwizi ni mwizi na kama ni msafi ni msafi kwani wote hawa wana dawa.
Kitakachofanya nimpigie ni kwamba et least huyu hana miaka 5 kwenye kiti na kufanya nothing hivyo nitajipa moyo labda anaweza kuwa visited by angel!

Ndugu zangu waingereza wana sema "you get what you deserve". Lowasa aliingia kwenye kinyanganyiro mwaka 1995 na akatupwa nje kwa hoja za baba wa Taifa zinazohusu tuhuma na harufu ya rushwa! Mwaka 2005 akadandia campaign ya Kikwete na akazawadiwa uwaziri mkuu kwa kazi aliyoifanya. Akaboronga kwenye Richmond na kuamua kuachia ngazi akilalama sana kuwa ameonewa.

Lowasa ni waziri mkuu peke yake ambaye amekaa kwenye kiti cha uwaziri mkuu kwa muda mfupi sana. Kama hiyo haitoshi ni Waziri Mkuu ambaye amejiuzuru kwa mazingara ya kashfa ya kifisadi. Huyu ndio mnasema akichaguliwa na chama chake mtampa kula kana kwamba Tanzania yenye watu takribai 40 millioni hakuna mtu mwadilifu wa kuongoza taifa hili. Kama watanzania tulikosea kumchagua Rais Kikwete (2005) itakuwa upuuzi kurudia makosa na kumchagua Lowasa badala yake. Kosa sio kutenda kosa bali kurudia kosa.

CCM ikifanya makosa ya kumpendekeza mtu kama Lowasa kugombea urais 2010 au 2015 itakuwa inajichimbia kaburi. Ni bora mtu ukapiga kura ya "protest vote" kuliko kuchagua mtu mwenye udhaifu (politically deficient) mkubwa kama Lowasa.Ogopeni mtu aliye jeruhiwa maana akirudi atalipa visasi. With a President like Lowassa who needs dictators? I am of the strong view that Tanzania deserves more than a Lowasaa as our future president.
 
Kwa CCM navyo ijua huyu akigombea atashinda kwa kura za tsunami just wait.
 
Ukweli ni kwamba huyu jamaa hawezi kuteuliwa na CCM,labda haazishe chama chake.

Mkuu wewe wasema akipanga watu huyu anachukua free na kiulaini wewe huwajui CCM nini mkuu huyu atashinda kwa kishindo imradi tu wampitishe basi mmekwisha.
 
Tanzania hii shamba la bibi, kila kitu kinawezekana. Tena ukiwa na tujisenti, mambo ni bwerereeeeeeee. Tujiulize ni magazeti mangapi yanaandika habari za Lowasa tena? Richmonduli yenyewe kwanza imekwisha kabisa, hakuna wa kuivalia nzuga publicly, ni hapa JF tu ambako si kila mtu anaweza access.

Tz bwana, mshiko mshiko tu, songa mbele mpaka kieleweke kwa EDO. Mpaka eti maaskofu na wachungaji wanamsafisha? Wanazindua kijitabu? Hivi kina kurasa ngapi?

Mkuu Invisible tutafutie scan weka hapa tufyonze. Mbona imekuwa ngumu kukipata hako kajitabu wakati barua za kwenye file tunapata na kudondosha hapa. Au niseme....Haya bana.
 
Hata mimi namuunga mkono agombee, tofauti ya fisadi na asiyekuwa fisadi mimi siioni.
 
Too late, kishawashika pabaya! Uliza ni vyombo vingapi vya habari kishaweka mkono ndipo ujue kazi ipo, si ndogo...

Ninachoamini Lowassa hawezi kuwa Rais wa nchi hii hata kama amejidhatiti kiasi gani.Anachoweza kufanya ni kumpandikiza mtu ambaye atakuwa kibaraka wake (ataendeshwa kwa remote) period.

Kama kuna anayeweza kumpelekea huu ujumbe amwambie kuwa hawezi kupata madaraka hayo katika nchi hii,anaota ndoto ya mchana.
 
Mimi nadhani lowassa would be the right candidate for presidency! Huyu wa sasa hakuna kitu na sijawahi kuona mchapakazi kama Lowassa katika CCM nzima. So Lowassa, please go ahead and you can already be cunting one vote from me! I know you were accused unjustiably by the "happy go luck" Mwakyembe and his goons! They had nothing against you except wivu tu kwa jinsi ulivyokuwa makini na mwepesi katika kutekeleza majukumu yako. CCM wanapenda watu wanaoendekeza majungu na si wachapa kazi kama wewe. Waliangalia kibanzi katika jicho lako na kusahau boriti katika macho yao. GO LOWASSA, GO.............You are my man!

Mkuu Jobo nita-edit post yako ionekane hivi:
"Mimi nandhani EL would NOT be the right candidate for presidency! Huyu wa sasa JK poa tu sijawahi kuona mbadhirifu kama EL katika CCM nzima! So Lowassa , please go ahead and try your luck!You can count on your fellow fisadis, Jobo, included.I know you were justifiably removed from office and unceremoniously by the Bunge after the Richmond report as prepared by select Bunge Commiittee NOW dubbed "The Mwakyembe Report".
They(the Bunge Commiiittee ) were rightly incensed as were many other wananchi by your mateoric rise to wealth from your humble beginings that you are known.
CCM is a place where you may be politically lynchedif you will not play your cards right.So! GO LOWASSA GO ......THE CLIFF IS JUST ROUND THE CORNER!!
 
ndugu zangu waingereza wana sema "you get what you deserve". Lowasa aliingia kwenye kinyanganyiro mwaka 1995 na akatupwa nje kwa hoja za baba wa taifa zinazohusu tuhuma na harufu ya rushwa! Mwaka 2005 akadandia campaign ya kikwete na akazawadiwa uwaziri mkuu kwa kazi aliyoifanya. Akaboronga kwenye richmond na kuamua kuachia ngazi akilalama sana kuwa ameonewa.

Lowasa ni waziri mkuu peke yake ambaye amekaa kwenye kiti cha uwaziri mkuu kwa muda mfupi sana. Kama hiyo haitoshi ni waziri mkuu ambaye amejiuzuru kwa mazingara ya kashfa ya kifisadi. Huyu ndio mnasema akichaguliwa na chama chake mtampa kula kana kwamba tanzania yenye watu takribai 40 millioni hakuna mtu mwadilifu wa kuongoza taifa hili. Kama watanzania tulikosea kumchagua rais kikwete (2005) itakuwa upuuzi kurudia makosa na kumchagua lowasa badala yake. Kosa sio kutenda kosa bali kurudia kosa.

Ccm ikifanya makosa ya kumpendekeza mtu kama lowasa kugombea urais 2010 au 2015 itakuwa inajichimbia kaburi. Ni bora mtu ukapiga kura ya "protest vote" kuliko kuchagua mtu mwenye udhaifu (politically deficient) mkubwa kama lowasa.ogopeni mtu aliye jeruhiwa maana akirudi atalipa visasi. With a president like lowassa who needs dictators? I am of the strong view that tanzania deserves more than a lowasaa as our future president.

nakubaliana 100% na mawazo yako mkuu! So nice, we need a change;
 
Hata mimi namuunga mkono agombee, tofauti ya fisadi na asiyekuwa fisadi mimi siioni.

Join Date: Tue Mar 2009
Posts: 1
Thanks: 0
Thanked 0 Times in 0 Posts
Rep Power: 0
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_highpos.gif
reputation_highpos.gif
reputation_highpos.gif

Credits: 6,610

Mkuu karibu JF na hongera kwa nondo moja....Kaazi kweli kweli,
 
Hata mimi namuunga mkono agombee, tofauti ya fisadi na asiyekuwa fisadi mimi siioni.

Achukue tu... he is the only one available who will make TAnzanians (wazee wa amani) kuingia msituni in 6 months za utawala, labda baada ya hapo tutaheshimu haki na usawa
 
Ndugu zangu waingereza wana sema "you get what you deserve". Lowasa aliingia kwenye kinyanganyiro mwaka 1995 na akatupwa nje kwa hoja za baba wa Taifa zinazohusu tuhuma na harufu ya rushwa! Mwaka 2005 akadandia campaign ya Kikwete na akazawadiwa uwaziri mkuu kwa kazi aliyoifanya. Akaboronga kwenye Richmond na kuamua kuachia ngazi akilalama sana kuwa ameonewa.

Lowasa ni waziri mkuu peke yake ambaye amekaa kwenye kiti cha uwaziri mkuu kwa muda mfupi sana. Kama hiyo haitoshi ni Waziri Mkuu ambaye amejiuzuru kwa mazingara ya kashfa ya kifisadi. Huyu ndio mnasema akichaguliwa na chama chake mtampa kula kana kwamba Tanzania yenye watu takribai 40 millioni hakuna mtu mwadilifu wa kuongoza taifa hili. Kama watanzania tulikosea kumchagua Rais Kikwete (2005) itakuwa upuuzi kurudia makosa na kumchagua Lowasa badala yake. Kosa sio kutenda kosa bali kurudia kosa.

CCM ikifanya makosa ya kumpendekeza mtu kama Lowasa kugombea urais 2010 au 2015 itakuwa inajichimbia kaburi. Ni bora mtu ukapiga kura ya "protest vote" kuliko kuchagua mtu mwenye udhaifu (politically deficient) mkubwa kama Lowasa.Ogopeni mtu aliye jeruhiwa maana akirudi atalipa visasi. With a President like Lowassa who needs dictators? I am of the strong view that Tanzania deserves more than a Lowasaa as our future president.

I agree with you BYASEL, coz we are 40 million in number, and they also say if you cant find something to die for, then you ain't fit to live.

We Tanzanians should not sit back and let CCM lead the way, leaders can come from any political party, CCM, CHADEMA, etc even Private candidates (if the constitution will allow in the future).

We cant just stick with the same thieves like EL, everyone can become a leader, even you.

The problem with us Tanzanians we do not take destiny into our own hands, we let people like CCM ride for us. Wake up Tanzanians.
 
Back
Top Bottom