karibu jamvini yahee nchimbi, hapa hakifajiliwi chama bali taifa, hafagiliwi mtu bali hoja, hakifagiliwi jimbo , bali utaifa, hakifagiliwi cheo bali dhamana. nakukumbuka sana tangu tunasoma wote pale uru seminary, bahati mbaya wote tukaukimbia ukasisi. mwenzetu slaa aliingia huko lakini sasa anafagilia utaifa.
jamb moja nakushauri, acha kudanganywa na ndoto za kumsafisha lowasa kwa kudhani kuwa atajakuwa rais na wewe uwe waziri mkuu, acha alinacha ndugu yangu.
huko jeshini alikokupeleka jk kuwa naibu waziri si haba, manake mmeanza kusingizia kila kitu jeshi, hata meremeta jeshi! na jinsi upepo unayokwenda na ninacyokufahamu , huenda wewe ndo nahodha wa hili jambo.
mwaka 2010 utakuwa mgumu kwako. ni vema ukajisajili tena pale mzumbe ikiwezekana ukaombe nafasi ya kufundisha. sasa siijui vizuri phd yako! manake kama kigezo ni o-level wewe ni kilaza